UFUNGUZI WA WARSHA YA MAFUNZO YA MAFUNDI MAJOKOFU NA VIYOYOZI JIJINI ARUSHA LEO
Pichani kulia ni Mkurugenzi msaidizi Idara ya Mazingira kutoka ofisi ya makamu wa Rais Bi Magdalena Mtenga, akifafanua jambo katika ufunguzi wa warsha ya mafunzo ya mafundi majokofu na viyoyozi kuhusu teknolojia mbadala za upozaji na rafiki kwa tabaka la ozoni mjini Arusha leo. Sehemu ya washiriki katika warsha ya Mafunzo ya mafundi majokofu na viyoyozi mjini Arusha kuhusu Teknolojia Mbadala za upozaaji na rafiki kwa tabaka la ozoni. Aliyesimama, Mkurugenzi wa idara ya Mazingira Ofisi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziOfisi ya Makamu wa Rais yatoa mafunzo kwa vijana jinsi ya kutumia njia bora za kuhudumia Majokofu na Viyoyozi
11 years ago
Michuzi11 Mar
elimu kwa umma juu ya njia bora za kuhudumia majokofu na viyoyozi ili kulinda tabaka la Ozoni.
5 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA ARUSHA AFUNGUA MAFUNZO YA MADAKTARI YANAYORATIBIWA NA WCF JIJINI ARUSHA
Mkuu wa Mkoa ametoa kauli hiyo leo Juni 24, 2020 katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Laban Kihongesi wakati akifungua mafunzo ya uelimishaji wa tathmini za ulemavu uliotokana na...
10 years ago
MichuziWARSHA YA KUHUSU AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA YAHITIMISHWA JIJINI ARUSHA
10 years ago
Vijimambo24 Oct
WARSHA KUHUSU AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA YAHITIMISHWA JIJINI ARUSHA
10 years ago
MichuziMHE. GODBLESS LEMA AFUNGUA WARSHA YA AFYA YA UZAZI NA UKIMWI KWA VIJANA JIJINI ARUSHA
11 years ago
Michuziufunguzi wa mkutano wa bodi ya wakandarasi jijini dar leo
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akifurahia jambo wakati akifungua mkutano wa Bodi ya Wakandarasi Nchini (CRB) na wadau wa manispaa tatu za Jiji la Dar es Salaam. Kulia ni Msajili wa Bodi ya CRB, Boniface Muhegi na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Joseph Tango.
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, akibadilishana mawazo na Msajili wa Bodi ya Wakandarasi Nchini (CRB), Boniface Muhegi na Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Joseph Tango, mara baada ya kufungua...
10 years ago
MichuziWARSHA YA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA CHINA YAFANYIKA JIJINI DAR LEO.
10 years ago
MichuziBonanza la Ufunguzi wa Wiki ya Mlipa Kodi ya TRA lafanyika leo jijini Dar