Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NI AIBU ILIOJE BUNGE LA KATIBA!

NIMSHUKURU sana Mwenyezi Mungu kwa mara nyingine kwa kutuwezesha kuwa pamoja tena leo, tukijadili mambo muhimu ya taifa letu, ambalo kwa sasa lipo katika mchakato wa kupitia Rasimu ya Katiba, ambao kama utakwenda vizuri, nchi yetu itakuwa na katiba mpya wakati wa Uchaguzi Mkuu ujao. Zaidi ya Watanzania wenzetu 640 wapo katika majengo ya Bunge mjini Dodoma, wakiifanya kazi hiyo muhimu kabisa, ambayo inahitaji umakini wa hali ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Hii ni aibu ya Bunge la Katiba

NIMESHAWISHIKA kuandika mtazamo huu kutokana na kushindwa kuwaelewa watu wanaoitwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba. Sina shaka na Rais Jakaya Kikwete kuwateua wajumbe hao, lakini kwa matendo yao nalazimika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aibu wajumbe Bunge la Katiba kulalamikia posho

MIJADALA ya siku mbili tu tangu Bunge Maalumu la Katiba lilipoanza kikao chake mjini Dodoma, inatia shaka kama kweli wawakilishi hao walioteuliwa na rais watatimiza lengo ambalo Watanzania wanalitarajia la...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kufutwa kodi ya simu, Bunge aibu tupu

>Hatua ya Rais Jakaya Kikwete kutia saini hati ya dharura ili Muswada wa Fedha wa mwaka 2013 ufanyiwe marekebisho na kuondoa tozo ya kodi kwa laini za simu imeliacha Bunge katika fadhaa na fedheha kubwa.

 

9 years ago

Raia Mwema

Aibu ni chaguzi za Z’bar, sio wapinzani kususa Bunge

BAADA ya yaliyotokea wiki iliyopita katika shughuli ya uzinduzi wa Bunge, watu wengi, hususan wan

Njonjo Mfaume

 

11 years ago

Michuzi

UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA: Sekretarieti ya Bunge la Katiba kukabidhiwa Ukumbi Jumatano

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akijaribu mojawapo ya viti vipya vilivyofungwa katika ukumbi wa Bunge tayari kwa ajiri ya Matumizi wakati wa Bunge la Katiba. Mhe. Makinda aliongoza ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Bnge kufanya ukaguzi wa mwisho kabla ukumbi huo haujakabidhiwa kwa Sekretariat ya Bunge la Katiba Jumatano wiki hii. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kukagua ukumbi huo. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda, (katikati) Naibu Spika Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

OFISI ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...

 

11 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.  Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe Said Mtanda na wenzake  jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.   Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani