Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni bajeti ya uchaguzi

NA FREDY AZZAH, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya, ametoa mwelekeo wa bajeti ya mwaka wa fedha wa 2015/16 ya Sh trilioni 22.4 na kusema kipaumbele chake kitakuwa ni uchaguzi mkuu, maji na nishati.
Kwa mujibu wa Mkuya, bajeti hiyo haina miradi mingi mipya kwa kuwa itajikita kumaliza miradi ambayo haikukamilishwa na bajeti iliyopita.
Mkuya alitoa mwelekeo wa bajeti hiyo jijini Dar es Salaam jana mbele ya wabunge wa Bunge la Muungano.
“Katika bajeti hii, shilingi trilioni 16.7...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Vyama vilivyozidisha bajeti ya uchaguzi kukiona

IMG_7284Patricia Kimelemeta na Grace  Shitundu

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imevitaka vyama vya siasa vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, kuwasilisha ripoti ya matumizi ya fedha zilizotumika  wakati wa kampeni, kulingana na matakwa ya Sheria ya Gharama za Uchaguzi.

Sheria hiyo imeweka viwango vya matumizi ya fedha, ambapo nafasi ya urais ni Sh bilioni 15, ubunge ni Sh milioni 33 hadi milioni 88 kulingana na jografia ya jimbo, huku nafasi ya udiwani ikiwa ni Sh milioni 2 hadi...

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Uchaguzi yaongezeka kwa asilimia 16

>Waziri wa Fedha, Saada Mkuya leo atawasilisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2015/16 ambayo wachambuzi wameielezea kuwa itakuwa na unafuu kwa wananchi kutokana na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Sayansi ‘yapigwa panga’ kusaidia Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu umetajwa kuwa miongoni mwa sababu ya kupunguzwa fedha za baadhi ya wizara kwenye bajeti ya 2015/16.

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI BAJETI: Wananchi mikoani waiponda Bajeti 2014

>Baadhi ya wakazi wa mikoa mbalimbali nchini, wamedai kuwa bajeti ya mwaka 2014/2015 iliyosomwa bungeni juzi mjini Dodoma na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, haiwezi kumkomboa mwananchi kutoka katika umaskini.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA BAJETI: Bajeti ya Ujenzi imekidhi vigezo

>Miundombinu ya usafirishaji ni muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote. Miundombinu hii ni pamoja na barabara, madaraja, viwanja vya ndege, reli, bandari na nyinginezo. Kiuchumi, hii ni miundombinu migumu (hard infrastructure) ukilinganisha na miundombinu kama ya mawasiliano ikiwamo simu na intaneti ambayo ni miundombinu laini (soft infrastructure) ya kiuchumi.

 

5 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI TAARIFA YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2019/20 NA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA 2020/21


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani