Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NI HATARI LAKINI SALAMA.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Mabilioni ya watu wanatumia WhatsApp, lakini je mtandao huu ni salama?

Kampuni ya Facebook inayomiliki mtandao wa WhatsApp imewasilisha mashtaka dhidi ya kampuni ya Israel NSO Group, kwamba ilitengeneza na kusambaza programu ya ujasusi kwa watumiaji wa mtandao huo billioni 1.5

 

10 years ago

Vijimambo

HATA KAMA MSAFIRI KAFIRI LAKINI HII NI HATARI

Jikumbushe na hiki kibao hapa chini kiroho safi unaweza kujipakulia 

 

10 years ago

Mwananchi

Sababu za asali kuwa salama ijapo inatoka kwenye mazingira hatari

Katika tathmini ya haraka ya wadudu ambao wanaweza wakaeneza maradhi mbalimbali ukiacha nzi, nyuki anaweza kuwa mmojawapo.

 

10 years ago

GPL

SOKO LA BUGURUNI: SHILINGI MIL.27 HUKUSANYWA KWA MWEZI, LAKINI HALI YA UCHAFU SOKONI HAPO NI HATARI

Na Makongoro Oging’
Soko la Buguruni ni moja kati ya masoko makubwa yanayotegemewa katika Jiji la Dar es Salaam kwa serikali kujipatia kipato pia wateja kujipatia mahitaji ya kila siku lakini cha kushangaza ni kwamba uchafu umekithiri. Muonekano wa soko la Buguruni. Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa soko hilo, Said Habibu Kondo amesema soko hilo lina wafanyabiashara 3,000 na kila mmoja hutozwa ushuru na manispaa kati ya...

 

11 years ago

Michuzi

BARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!

Barabara ya Kijichi – Mbagala Kuu, ndani ya jiji la Dar es Salaam kama ilivyokutwa jana na Mdau Nathan Mpangala. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Butiama, Bw. Haji Mgaya, alisema, dhahma hiyo ni ya muda mrefu na Manispaa ya Temeke ina taarifa hiyo kwa kupindi chote hivyo,lakini mpaka leo iko kimya tu.  Hapa dereva ‘akilala’ tu, kilio kitongoji kizima zikifuatiwa na salamu za rambirambi nyiiingi toka kwa viongozi. Inawezekana Manispaa ya Temeke haina picha halisi ya hatari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani