Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sababu za asali kuwa salama ijapo inatoka kwenye mazingira hatari

Katika tathmini ya haraka ya wadudu ambao wanaweza wakaeneza maradhi mbalimbali ukiacha nzi, nyuki anaweza kuwa mmojawapo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Raia Tanzania

Elimu bora inahitaji mazingira salama

MAENDELEO ya taifa hupimwa kwa ubora wa elimu na taasisi zilizo chini yake, msingi imara wa elimu ni chachu ya mafanikio hasa kwa vijana.

Inapozungumziwa elimu bora si utoaji wa vitabu na madawati pekee katika shule, bali hata mazingira ya kusomea huongeza mafanikio ya elimu na kukuza maarifa.

Kwa kutambua hamasa hiyo ya mazingira mazuri ya kujifunzia kampuni ya AAR Health Care inayotoa huduma ya afya nchini imeandaa utaratibu wa kuhakikisha mazingira yanakuwa mazuri kuanzia katika...

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel: Naomba Mungu Nijifungue Salama, Sababu Watu….

Staa wa  Bongo Movies, Aunt Ezekiel ambaye hivi sasa  ni mjamzito ameeleza kuwa kila saa na kila siku anamuomba Mungu amjaalie ajifungue salama maana maneno ya watu yamekuwa yakimtisha.

Akizungumza na gazeti la Ijumaa hivi karibuni nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar, Aunt alisema kuna watu ambao wamekuwa wakimuombea mabaya kutokana na chuki zao lakini yeye anaamini Mungu ndiye kila kitu kwake.

“Wapo watu ambao wanaisengenya mimba yangu, wananisema vibaya, wananiombea mabaya kiasi cha...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yajipanga kuboresha mazingira rafiki ya hedhi Salama kwa wanafunzi

Mratibu wa huduma ya Maji, Afya na Usafi wa mazingira shuleni kutoka wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bi Theresia Kuiwite (Katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya mwaka huu ya Siku ya Hedhi Duniani yatakayofanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania tarehe 28 Mei, yatakayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. 
Kauli mbiu ya mwaka huu Ikiwa "Usisite Kuzungumzia Hedhi". Wengine kushoto ni Mwandaaji wa maadhimisho hayo...

 

10 years ago

Michuzi

WAJAWAZITO WAKIJIFUNGUA KATIKA MAZINGIRA SALAMA VIFO VYAO VITAPUNGUA - SALMA KIKWETE

 Ili kuhakikisha vifo vya kina mama wajawazito vinapungua ni lazima wajifungue katika mazingira salama huku kukiwa na upatikanaji wa kutosha wa vifaa tiba.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Mama Salma Kikwete wakati akiongea na viongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) iliyopo Keko Jijini Dar es Salaam.
Mama Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) alitembelea makao makuu ya MSD kwa ajili ya kuangalia vifaa tiba ikiwa ni pamoja na vifaa vya...

 

10 years ago

Vijimambo

Waandishi wa habari nchini Uganda waandamana kudai mazingira salama ya kufanya kazi.

Mwandishi wa habari aliyepigwa na kujeruhuwa akiwa kazini amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitali ya Msambia, nchini humo. Waandishi wa habari nchini Uganda waandamana kudai mazingira salama ya kufanya kazi.
 Moja ya story zilizochukua headlines kutoka Uganda leo January 13, ni ile inayohusu Waandishi wa habari nchini humo kuandamana baada ya Afisa wa Polisi Joram Mwesije, kumpiga mwandishi Adrew Lwanga, na baadae akakutana na Ispekta wa Polisi na kukiri makosa yake,...

 

5 years ago

CCM Blog

MAANDAMANO YA KUPINGA UBAGUZI WA RANGI NCHINI MAREKANI, SABABU NA HATARI ZAKE

Maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani, sababu na hatari zakeMarekani imetumbukia tena katika machafuko makubwa kutokana na malalamiko ya wananchi wanaopinga mauaji yaliyofanywa na polisi wa nchi hiyo dhidi ya raia mweusi.Katika kipindi cha siku nne zilizopita miji mbalimbali ya Marekani kuanzia Minneapolis hadi New York, Atlanta mpaka Houston na Milwaukee hadi Los Angeles imekumbwa na maandamano na ghasia kubwa baina ya raia wanaoandamana, na polisi. Watu kadhaa wamejeruhiwa katika baadhi ya machafuko hayo na kunashuhudiwa ghasia na hata oporaji wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Somalia:Wakazi wahisi kuwa salama

Wakazi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, wanahisi kuwa salama na wenye matumaini kuliko hali ilivyo kuwa mwaka 1 uliopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani