Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NI LIVERPOOL VS ARSENAL SAA 1 JIONI LEO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

IDRIS KUTUA LEO SAA 12:30 JIONI

MSHINDI wa zaidi ya milioni 500 za shindano la Big Brother Hotshots, Idris Sultan anatarajia kutua nchini leo saa 12:30 jioni akitokea Afrika Kusini alipokuwa anashiriki shindano hilo lililomalizika Jumapili iliyopita.

 

10 years ago

CloudsFM

YP KUZIKWA LEO SAA KUMI JIONI MAKABURI YA CHANG’OMBE

Aliyekuwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, YP ambaye amefariki usiku wa juzi katika hospitali ya Temeke wakati alipokuwa akitibiwa maradhi ya kifua kikuu (TB) anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi katika makaburi ya Chang’ombe jijini Dar es Salaam.Mkubwa Fella akiwa msibani

Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, YP ambaye jina lake halisi ni Yessaya Ambilikile ameugua kwa kipindi cha takribani miezi miwili kabla ya kufikwa na umauti hapo juzi.

 

9 years ago

Michuzi

TRENI YA ABIRIA YA LEO YAAHIRISHWA HADI KESHO SEPTEMBA 12, 2015 SAA 11 JIONI!

KAMPUNI YA RELI TANZANIATAARIFA  KWA VYOMBO VYA HABARI YA  KUAHIRISHA SAFARI YA TRENI KWENDA  BARA  LEO IJUMAA SEPTEMBA 11, 2015, HADI KESHO JUMAMOSI SEPTEMBA 12, 2015  SAA  11 JIONI!  Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL unasikitika kuwataarifu  abiria wote na wananchi kwa jumla  kuwa kutokana na ajali ya treni ya mizigo iliyotokea kati ya Ngerengere na Kinonko jana mkoa wa  Morogoro , safari ya  treni ya abiria kwenda Bara  iliopangwa kuondoka  leo saa 11 jioni imeahirishwa hadi...

 

10 years ago

Vijimambo

Karibuni Semina na Chakula cha Jioni — Valentine Day Februari 14, 2015 Kuanzia saa kumi na mbili jioni 6:00pm EST

***   ***   ***   www.iykcolumbus.org   ***   ***   ***Simu: 1-614-664-9564 au 1-614-66-IYK-OH  

 

9 years ago

Vijimambo

Kipindi cha JUKWAA LANGU Sept 28 2015 (FULL) KILA SIKU YA LEO JUMATATU KUANZIA SAA 12 JIONI ET USIKOSE

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Hiki ni kipindi kilichosikika Septemba 28, 2015
Kutoka Tanzania tuliungana na Liberatus Mwang'ombe. Mgombea ubunge jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMA
Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, na kwa njia ya simu tukaungana na wasikilizaji wengi ndani na nje ya Marekani
KARIBU

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani