Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NIC yatesa :netball Afrika Mashariki

Mabingwa watetezi wa michuano ya mpira wa pete kwa nchi za Afrika ya Mashariki, NIC ya Uganda inatetea vema ubingwa wake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Naibu Waziri afunga mashindano ya Netball Afrika Mashariki

Naibu Waziri wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma Abdulla Saadala akitoa hotuba yake wakatiwa uzinduzi wa mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa pete ya Afrika Mashariki.

 Waziri wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma Abdulla Saadala akicheza mpira wa Pete kuashiria ufunguzi wa Mchezo wa kwanza wa mashindano ya mpira wa Pete wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki kati ya Uganda Bima na Magereza Morogoro.

 Waziri wa Wizara ya Ushirikiano...

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

10 years ago

Bongo5

Director Godfather wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake

Muongozaji wa video, Godfather kutoka Afrika Kusini ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania wakiwemo Diamond, Ommy Dimpoz, Alikiba, Linah na wengine, anatarajia kufanya ziara ya Afrika mashariki akiwa na crew yake. Katika ziara hiyo ya siku saba itakayoanza mwisho wa mwezi huu wa nne, Godfather amesema atakuwa tayari kufanya video na wasanii wa […]

 

10 years ago

Michuzi

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki

 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM),Mboni Mhita (katikati) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) pamoja na baadhi ya vijana wa Mkoa wa Dar es salaam leo,juu ushindi wake alioupata katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Barani Afrika,ambapo yeye amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja huo kwa upande wa Afrika Mashariki.Uchaguzi huo ulifanyika Mwishoni mwa mwezi uliopita katika Jiji la Johannesburg,nchini Afrika Kusini.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mizigo yatesa CCM

UTEUZI wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete wiki iliyopita, umekimega mapande mawili yanayotishia mustakabali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Daima Jumapili, limebaini. Kabla ya uteuzi huo, Kamati Kuu...

 

11 years ago

Habarileo

Mvua yatesa abiria saa 12

Rais Jakaya Kikwete pamoja na mkewe, Mama Salma Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza wakikagua mafuriko yaliyoharibu vibaya barabara ya Chalinze hadi Dar es Salaam, eneo la Ruvu Darajani jana. Mamia ya abiria walikwama kutokana na mafuriko hayo. (Picha na Ikulu).MVUA iliyoanza kunyesha mwishoni mwa wiki, imeendelea kuleta kizaazaa katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo kusababisha maelfu ya abiria kukwama kusafiri kati ya Dar es Salaam na mikoa mingine kupitia Barabara ya Morogoro.

 

10 years ago

Mwananchi

Kumbukumbu zangu za Afrika Mashariki

Katika makala haya tutawaletea uhakiki mfupi wa kitabu chake kiitwacho “Kumbukumbu zangu za Afrika Mashariki (My Reminiscences of East Africa).

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Afrika Mashariki lavunjika

 Bunge la Afrika Mashariki (Eala) limeanza kuonekana kufanana na Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma.

 

9 years ago

Mwananchi

Tanzania kibonde Afrika Mashariki

Licha ya kupanda kwa nafasi nne na kuwa ya 136 katika ripoti ya viwango vya Fifa vilivyotolewa leo, Tanzania inashika nafasi ya mwisho kwa ubora wa soka katika Ukanda wa Afrika Mashariki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani