Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua yatesa abiria saa 12

Rais Jakaya Kikwete pamoja na mkewe, Mama Salma Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza wakikagua mafuriko yaliyoharibu vibaya barabara ya Chalinze hadi Dar es Salaam, eneo la Ruvu Darajani jana. Mamia ya abiria walikwama kutokana na mafuriko hayo. (Picha na Ikulu).MVUA iliyoanza kunyesha mwishoni mwa wiki, imeendelea kuleta kizaazaa katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo kusababisha maelfu ya abiria kukwama kusafiri kati ya Dar es Salaam na mikoa mingine kupitia Barabara ya Morogoro.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Abiria wakwama barabarani kwa saa 48 Kenya

Barabara hiyo ni muhimu kwa uchumi wa jimbo hilo kwa kuwa inaunganisha bandari ya Mombasa na mataifa yasiokuwa na Bandari.

 

11 years ago

GPL

ABIRIA WATESEKA ZAIDI YA SAA 6 BILA MSAADA‏ KIBAMBA, DAR

 Abiria waliokuwa wanaelekea mkoani Mwanza kutoka Dar na gari la Princes Shabaha jana walikwama kwa saa sita baada ya basi hilo lenye namba za usajili T105 AVX  kuharibika maeneo ya Kibamba jijini Dar es Salam na kusababisha usumbufu miongoni mwa abiria hao.…

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua ya saa mbili yaanika udhaifu wa Dar

Mvua iliyonyesha kwa saa mbili katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam jana, imeleta kero kwa wasafiri wa vyombo vya moto na watembea kwa miguu na kusababisha baadhi ya barabara kushindwa kupitika kutokana na kujaa maji.

 

10 years ago

Michuzi

TRENI YA ABIRIA YA LEO YAAHIRISHWA HADI KESHO SEPTEMBA 12, 2015 SAA 11 JIONI!

KAMPUNI YA RELI TANZANIATAARIFA  KWA VYOMBO VYA HABARI YA  KUAHIRISHA SAFARI YA TRENI KWENDA  BARA  LEO IJUMAA SEPTEMBA 11, 2015, HADI KESHO JUMAMOSI SEPTEMBA 12, 2015  SAA  11 JIONI!  Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL unasikitika kuwataarifu  abiria wote na wananchi kwa jumla  kuwa kutokana na ajali ya treni ya mizigo iliyotokea kati ya Ngerengere na Kinonko jana mkoa wa  Morogoro , safari ya  treni ya abiria kwenda Bara  iliopangwa kuondoka  leo saa 11 jioni imeahirishwa hadi...

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaleta maafa Tanga, yanyesha kwa saa nne mfululizo

Mvua zilizonyesha kwa saa nne mfululizo  jijini Tanga zimesababisha kuongezeka kwa maeneo yaliyoathirika na mafuriko huku baadhi ya nyumba zikibomoka na idadi ya waliolazimika kuhama makazi ikiongezeka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mizigo yatesa CCM

UTEUZI wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete wiki iliyopita, umekimega mapande mawili yanayotishia mustakabali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Daima Jumapili, limebaini. Kabla ya uteuzi huo, Kamati Kuu...

 

10 years ago

Mtanzania

Fasheni ya Chenge yatesa Baraza la Maadili

chengeNa Aziza Masoud, Dar es Salaam
BARAZA la Maadili kwa mara nyingine jana limeshindwa kumhoji Loicy Appollo, ambaye ni Naibu Kamishna Upepelezi wa Kodi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), anayedaiwa kupata mgawo wa fedha za Escrow, baada ya kutumia mbinu ya Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge ya kukimbilia mahakamani.
Appollo, ambaye anadaiwa kupata mgawo wa Sh milioni 80.8, alikataa kuhojiwa jana kwa kudai kuwa shauri hilo lilishawekewa pingamizi Mahakama Kuu.
Kigogo huyo amekuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

NIC yatesa :netball Afrika Mashariki

Mabingwa watetezi wa michuano ya mpira wa pete kwa nchi za Afrika ya Mashariki, NIC ya Uganda inatetea vema ubingwa wake.

 

10 years ago

Vijimambo

DEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA

Gari lenye namba za usajili T 607 CVL likiwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara baada ya kuharibika.

Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani