Mvua ya saa mbili yaanika udhaifu wa Dar
Mvua iliyonyesha kwa saa mbili katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam jana, imeleta kero kwa wasafiri wa vyombo vya moto na watembea kwa miguu na kusababisha baadhi ya barabara kushindwa kupitika kutokana na kujaa maji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
TRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!

TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio - Maombezi Maalum ya Uchaguzi Mkuu wa Uraisi Tanzania: Muda Kuanzia Saa Kumi Kamili hadi Saa Kumi na Mbili Jioni (4:00pm - 6:00pm EST)

10 years ago
Vijimambo
Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio - Maombezi Maalum ya Uchaguzi Mkuu wa Uraisi Tanzania: Muda Kuanzia Saa Kumi Kamili hadi Saa Kumi na Mbili Jioni (4:00pm - 6:00pm EST)

Karibu tembelea tovuti yetu :- www.iykcolumbus.orgMungu Ibariki Tanzania! Mungu Ibariki Afrika!
11 years ago
Habarileo14 Apr
Mvua yatesa abiria saa 12
MVUA iliyoanza kunyesha mwishoni mwa wiki, imeendelea kuleta kizaazaa katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo kusababisha maelfu ya abiria kukwama kusafiri kati ya Dar es Salaam na mikoa mingine kupitia Barabara ya Morogoro.
11 years ago
Mwananchi05 Jul
MATUKIO: Saa mbili ndani ya Buguruni
>“Naombeni msaada…Wananipiga jamani…Tafadhari ndugu zangu niokoeni wataniuwa mimi,â€â€¦Ni sauti ya kijana anayepigwa na kundi la vijana kutokana na tuhuma za wizi eneo la Buguruni majira ya saa moja na nusu usiku.
10 years ago
GPL
Saa mbili za Mrwanda Yanga ni hatari
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Danny Mrwanda. Na Waandishi Wetu
UNAWEZA kusema ni umafia umefanyika baada ya mshambuliaji wa zamani wa Simba, Danny Mrwanda, kujiunga na Yanga akitokea Polisi Morogoro. Mrwanda alisaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuwatumikia vijana hao wa Jangwani, juzi jioni na jana alifanya maajabu kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyokuwa yakifanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam. Awali,...
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Saa mbili ndani ya Buguruni elimu tosha
Kitu kimoja ambacho unaweza kukifanya kumbukumbu katika eneo la Buguruni, wilayani Ilala jijini Dar es Salaam ni ‘vishombo’, huu ni mlo wa nyama za aina mbalimbali, mfano miguu ya kuku na utumbo wake.
10 years ago
GPL
Saa mbili za Ngoma, Mghana Yanga ni hatari
Mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma. Wilbert Molandi na Sweetbert Luonge
SAA mbili walizofanya mazoezi ya pamoja na Yanga, zimetosha kabisa kwa mashabiki wa timu hiyo kukubali uwezo wa mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma na Mghana, Joseph Zuttah. Wachezaji hao walitua nchini wikiendi iliyopita na juzi walifuzu vipimo vya afya, kisha jana wakaanza kazi rasmi uwanjani na mastaa wengine.Ngoma amepewa jezi namba 11 iliyokuwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania