NICK JONAS ACHOMOA KUTOKA NA KENDALL
![](http://api.ning.com:80/files/S642KsM6XOkNeHGIzJfTfGibx9xaNMHGdf9cCvwltdBRMInil9EFE5HiNfKEudPDx2Zna-Gh8SA9i8Ny4wa68*BIFB3Fz8jp/KendallJennerNickJonas01.jpg?width=650)
Nick Jonas na Kendall Jenner. New York, Marekani NICK Jonas na Kendall Jenner awali baada wa kuripotiwa kuwa wanatoka kimapenzi, iliaminika kuwa ingekuwa bonge la kapo, lakini ghafla msanii wa muziki na muigizaji huyo, kachomoa kuwa wala hatoki na mwanadada huyo. Nick Jonas . Kendall ambaye ni mdogo wa mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian, amewahi pia kuripotiwa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima20 Oct
Jonas Mkude: Niombeeni
KIUNGO wa timu ya Simba, Jonas Mkude amewataka Wanasimba, kumuombea aweze kupona haraka, mkono wa kushoto alioumia katika mchezo wa juzi dhidi ya Yanga, uliopigwa katika Uwanja wa Taifa, jijini...
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Jonas Mkude arejea Simba
KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, amerejea rasmi kikosini na kuanza mazoezi baada ya kuwa benchi kwa wiki sita akiwa na majeraha aliyopata akiwa na timu ya soka ya Tanzania, Taifa...
10 years ago
BBCSwahili23 Dec
Katibu mkuu mpya Yanga Jonas Tibohora .
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Jonas Savimbi, mtoto wa ‘mtumishi’ aliyeingia msituni
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Kendall, Harry Styles wazua maswali
Modo kiwango Kendall Jenner akiwa na mwanamuziki Harry Stayles.
CARIBBEAN, Mexico
BAADA ya wiki iliyopita kuonekana wakiwa pamoja kwenye mtoko wa chakula cha usiku, modo kiwango Kendall Jenner na mwanamuziki Harry Stayles wameonekana tena wakiwa katika mikao ya kimahaba kwenye boti huko Carribean.
Wawili hao ambao wanaripotiwa kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi bado hawajazungumza lolote kuhusu hali iliyopo baina yao kwa sasa licha ya kuwa wamekuwa wakionekana kuwa kwenye mikao ya kimahaba.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLpnMLsm6QLkoaJEIqfPX050WYfNOmcH3v-XgHUNZtYZMWFuaqVNkr39S-ygCaffNN5dtkbKqw5ai7p91ajkR*la/mkudeeee.jpg?width=650)
Jonas Mkude akinukisha, Mzungu hamtaki tena kikosini
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet15 Feb
Some Fans Suspect Kendall Jenner Would Be Taken More Seriously If She Stopped Doing This 1 Thing
9 years ago
Habarileo20 Aug
Achomoa kubomoa jengo pacha
UBOMOAJI wa jengo pacha lenye ghorofa 16, lililopo mtaa wa Indira Ghandi Dar es Salaam, imeshindikana.