Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jonas Mkude akinukisha, Mzungu hamtaki tena kikosini

Na Nassor Gallu, Tanga SIRI imefichuka na sasa kila kitu hadharani juu ya kiungo wa Simba, Jonas Mkude kutojumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars. Kuna mambo mawili makubwa yaliyotajwa juu ya Mkude kuwekwa pembeni, moja kubwa ni kuwa utovu wa nidhamu ndiyo kikwazo na Kocha wa Stars, Martin Nooij hana mpango wa kumuita tena labda abadilike baadaye. Kiungo wa timu ya Simba ya Dar, Jonas Mkude. Licha ya kuwa kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Jonas Mkude: Niombeeni

KIUNGO wa timu ya Simba, Jonas Mkude amewataka Wanasimba, kumuombea aweze kupona haraka, mkono wa kushoto alioumia katika mchezo wa juzi dhidi ya Yanga, uliopigwa katika Uwanja wa Taifa, jijini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jonas Mkude arejea Simba

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, amerejea rasmi kikosini na kuanza mazoezi baada ya kuwa benchi kwa wiki sita akiwa na majeraha aliyopata akiwa na timu ya soka ya Tanzania, Taifa...

 

11 years ago

GPL

AUNT AKINUKISHA...

Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo KAMA hakuwahi kutoa sadaka, huu ndiyo muda wake! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson anadaiwa kukinukisha nyumbani kwa Wema Isaac Sepetu baada ya kunusurika kufumaniwa na mume wa mtu, Moses Peter Iyobo a.k.a Moze Iyobo ambaye ni densa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na shost yake Wema Isaac Sepetu. Habari zisizokuwa na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais wa Iraq hamtaki Nouri Maliki

Rais wa Iraq amemuudhi waziri mkuu wa sasa Nouri Maliki kwa kumwagiza mpinzani wake kuunda Serikali mpya.

 

11 years ago

GPL

Pluijm amtema Okwi kikosini

Emmanuel Okwi. Martha Mboma na Omary Mdose
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amesema mchezaji Emmanuel Okwi hayupo kambini na suala lake lipo juu ya uwezo wake na hawezi kumtumia kwenye mechi ya leo dhidi ya Kagera Sugar.
Pluijm amesema mbali na Okwi, kuna wachezaji wengine kadhaa hawapo, lakini yeye anaendelea kupambana na wale waliopo.… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ghana yakana mgawanyiko kikosini

Shrikisho la soka nchini Ghana, limekanusha ripoti kwamba timu yake imemkataa kocha Kwesi Appiah

 

11 years ago

GPL

Mkwasa amuengua Okwi kikosini

Na Mwandishi wetu
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amesema hatampa nafasi ya kucheza mechi yoyote mchezaji ambaye hajamuona. Wachezaji wawili ambao hawajaripoti katika kikosi cha Yanga ni Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, wote raia wa Uganda, lakini Okwi alitarajiwa kutua nchini jana jioni. Akizungumza na Championi Jumatatu, Mkwasa amesema ambao hawajaripoti hawawezi kupata nafasi ya kucheza katika kikosi chake...

 

9 years ago

GPL

NICK JONAS ACHOMOA KUTOKA NA KENDALL

Nick Jonas na Kendall Jenner. New York, Marekani
NICK Jonas na Kendall Jenner awali baada wa kuripotiwa kuwa wanatoka kimapenzi, iliaminika kuwa ingekuwa bonge la kapo, lakini ghafla msanii wa muziki na muigizaji huyo, kachomoa kuwa wala hatoki na mwanadada huyo. Nick Jonas . Kendall ambaye ni mdogo wa mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian, amewahi pia kuripotiwa… ...

 

9 years ago

Global Publishers

Kerr amtoa Angban kikosini Simba

Dylan-KerrKocha Mkuu wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr.

Omary Mdose na Said Ally
KOCHA Mkuu wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr, amesema katika harakati zake za kuutetea ubingwa wa Kombe la Mapinduzi hatamtumia kipa wake, Muivory Coast, Vincent Angban.

Angban kwa siku za hivi karibuni ameonekana kukaa langoni katika kila mchezo wa Simba kwenye Ligi Kuu Bara kitendo ambacho kimemfanya kocha huyo kumpumzisha na badala yake kuwatumia Peter Manyika na David Kissu.

Katika michuano hiyo ambayo msimu uliopita...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani