Mkwasa amuengua Okwi kikosini
![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DRe5kM1DKlgQT6H5f8JJJbImY1FT2SWFDk5zOYZn75HOJcSlkhlqEHXi8c5Vjx2yXDFZFiNJpzTWym3mRF2Di1q/MKWASA.jpg?width=650)
Na Mwandishi wetu KOCHA Msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amesema hatampa nafasi ya kucheza mechi yoyote mchezaji ambaye hajamuona. Wachezaji wawili ambao hawajaripoti katika kikosi cha Yanga ni Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, wote raia wa Uganda, lakini Okwi alitarajiwa kutua nchini jana jioni. Akizungumza na Championi Jumatatu, Mkwasa amesema ambao hawajaripoti hawawezi kupata nafasi ya kucheza katika kikosi chake...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/adHomLpcUH9QaFQl94kui-cYS3KHUGMAtIXhJHk9DCZcCKdUOD6o4Ztd-74*TPiIHnaonxuqn-oubwGwK3rUh2NaFaYjgwdI/kocha.jpg?width=650)
Pluijm amtema Okwi kikosini
11 years ago
BBCSwahili18 Jun
Ghana yakana mgawanyiko kikosini
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Kerr amtoa Angban kikosini Simba
Kocha Mkuu wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr.
Omary Mdose na Said Ally
KOCHA Mkuu wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr, amesema katika harakati zake za kuutetea ubingwa wa Kombe la Mapinduzi hatamtumia kipa wake, Muivory Coast, Vincent Angban.
Angban kwa siku za hivi karibuni ameonekana kukaa langoni katika kila mchezo wa Simba kwenye Ligi Kuu Bara kitendo ambacho kimemfanya kocha huyo kumpumzisha na badala yake kuwatumia Peter Manyika na David Kissu.
Katika michuano hiyo ambayo msimu uliopita...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Kocha Pluijm amrudisha Yondani kikosini Yanga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLpnMLsm6QLkoaJEIqfPX050WYfNOmcH3v-XgHUNZtYZMWFuaqVNkr39S-ygCaffNN5dtkbKqw5ai7p91ajkR*la/mkudeeee.jpg?width=650)
Jonas Mkude akinukisha, Mzungu hamtaki tena kikosini
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Baada ya kutojumuishwa katika timu ya taifa ya Uholanzi, Van Gal naye amtoa kikosini Depay kwenye mchezo wa UEFA
Winga wa Manchester United, Memphis Depay.
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.
Na Rabi Hume
Winga wa klabu ya Manchester United, Mholanzi Memphis Depay amekuwa na wakati mgumu katika kipindi hiki cha karibuni kutokana na kudaiwa kushuka kiwango jambo lililomfanya kocha wake Louis Van Gaal kuwa akimweka benchi na nafasi yake ikichukuliwa na kijana mwenzake, Mfaransa Antony Martial.
Kama hilo halitoshi jana nchini Uholanzi yametangazwa majina ya wachezaji ambao wataingia kambini kwa...
9 years ago
Habarileo10 Oct
Ni ushindi tu -Mkwasa
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars, Charles Mkwasa amesema wanatarajia kutumia mfumo wa mashambulizi kuwadhibiti wapinzani wao Malawi katika mchezo wa marudiano utakaochezwa kesho nchini humo.
10 years ago
Michuzi06 Aug
10 years ago
BBCSwahili06 Jul
Mkwasa:Tumecheza vizuri