Kerr amtoa Angban kikosini Simba
Kocha Mkuu wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr.
Omary Mdose na Said Ally
KOCHA Mkuu wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr, amesema katika harakati zake za kuutetea ubingwa wa Kombe la Mapinduzi hatamtumia kipa wake, Muivory Coast, Vincent Angban.
Angban kwa siku za hivi karibuni ameonekana kukaa langoni katika kila mchezo wa Simba kwenye Ligi Kuu Bara kitendo ambacho kimemfanya kocha huyo kumpumzisha na badala yake kuwatumia Peter Manyika na David Kissu.
Katika michuano hiyo ambayo msimu uliopita...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania10 Aug
Kerr awapa kazi Majabvi, Angban
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, ameridhishwa na viwango vya kiungo, Justice Majabvi raia wa Zimbabwe na kipa Muivory Coast, Vincent Angban, wanaosaka nafasi ya kusajiliwa na timu hiyo.
Mwingereza huyo amesema hayo baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya SC Villa ya Uganda kwenye sherehe za Simba Day na kushinda bao 1-0 juzi, lakini amewapa mtihani nyota hao akiwataka waonyeshe makubwa zaidi.
“Nimefurahishwa na baadhi ya...
10 years ago
Dewji Blog03 Nov
Baada ya kutojumuishwa katika timu ya taifa ya Uholanzi, Van Gal naye amtoa kikosini Depay kwenye mchezo wa UEFA
Winga wa Manchester United, Memphis Depay.
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.
Na Rabi Hume
Winga wa klabu ya Manchester United, Mholanzi Memphis Depay amekuwa na wakati mgumu katika kipindi hiki cha karibuni kutokana na kudaiwa kushuka kiwango jambo lililomfanya kocha wake Louis Van Gaal kuwa akimweka benchi na nafasi yake ikichukuliwa na kijana mwenzake, Mfaransa Antony Martial.
Kama hilo halitoshi jana nchini Uholanzi yametangazwa majina ya wachezaji ambao wataingia kambini kwa...
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wachezaji Simba wamtibua Kerr
KOCHA mkuu wa timu ya Simba Dlyan Kerr amesema hajaridhishwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri juzi uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.
9 years ago
Mwananchi07 Dec
Kessy amshitua Kerr Simba
10 years ago
Habarileo10 Oct
Kerr ajipa matumaini Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerry amesema ana imani ya kufanya vizuri katika mchezo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa mwishoni mwa wiki ijayo jijini Mbeya. Akizungumza Dar es Salaam, Kerry alisema uwezekano wa kuondoka na pointi tatu kwenye Uwanja wa Sokoine upo, kwani kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo.
10 years ago
Habarileo02 Aug
Kerr akerwa na washambuliaji Simba
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dlyan Kerr amesikitishwa na washambuliaji wake ambao walikosa nafasi nyingi za wazi katika mchezo wao wa juzi wa kirafiki dhidi ya Polisi, ambapo Simba ilishinda mabao 2-0.
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Kerr afichua siri ya Simba
10 years ago
Mwananchi10 Aug
Kerr: Hakuna Staa Simba
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Kerr ataka uvumilivu Simba
NA MWALI IBRHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amewataka wachezaji wake kuwa wavumilivu kutokana na aina ya mazoezi watakayofanya watakapokuwa kambini visiwani Zanzibar kwa lengo la kuwaongezea kasi tofauti na ilivyokuwa katika mechi zilizopita.
Ikiwa kambini Simba inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kujipima nguvu kabla ya kurejea kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa Desemba 12, mwaka huu katika Uwanja wa Uwanja wa Taifa...