Nigeria kulegeza msimamo wasichana waachiwe
SERIKALI ya Nigeria inasema kuwa iko tayari kuzingatia mbinu zote, zitakazowezesha kuachiliwa huru na salama kwa zaidi ya wasichana 200 wa shule, waliotekwa nyara na wanamgambo wa Kiislamu wa Boko Haram.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 Sep
Walimu Kenya wakataa kulegeza msimamo
Walimu watishia kuendelea na mgomo ikiwa hawatapewa nyongeza ya mshahara
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
Virusi vya corona: Serikali zimeanza kulegeza masharti ya kukabiliana maambukizi, Je kulegeza masharti ni hatari kiasi gani?
Nchini Uingereza watu wameanza kurejelelea shughuli zao za kawaida, watu kukutana, baadhi ya watoto wanarejea shuleni, maeneo ya maonyesho ya magari yanafunguliwa, na masoko kufunguliwa tena.
11 years ago
BBCSwahili14 Jul
Nigeria yashinikizwa kuwaokoa wasichana
Mwanaharakati, Malala Yousafzai kukutana na rais Goodlack Jonathan kushinikiza hatua zaidi ili kuwakoa wasichana waliotekwa na kundi la Boko Ha
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
Nigeria yawakumbuka wasichana wa Chibok
Nigeria imeadhimisha siku mia tano tangu wasichana wa shule ya upili ya Chibok walipotekwa nyara na wapiganaji wa Boko Haram
11 years ago
BBCSwahili08 May
Wito wa kuwaokoa wasichana Nigeria
Mashambulio ya wapiganaji wa Boko Haram na wasiwasi wa kiusalama yameugubika mkutano wa uchumi duniani Nigeria.
11 years ago
Habarileo09 May
Alaani utekaji wasichana Nigeria
MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd amesema Serikali inaungana na Chama cha Majaji Wanawake Duniani (IAWJ) kulaani vitendo vya ukatili na utekaji kwa wasichana nchini Nigeria.
11 years ago
BBCSwahili18 Apr
Msako wa wasichana 100 Nigeria
Vikosi vya usalama katika jimbo la Borno vinawatafuta wasichana wa shule waliotekwa na watu wanaoshukiwa kua wa kundi hilo hilo
11 years ago
BBCSwahili18 Apr
Msako wa wasichana waendelea Nigeria
Maafisa wa usalama, wawindaji na walinzi wanaendelea kuwatafuta karibu wasichana 100 wa shule waliotekwa nyara kaskazini mashariki mwa Nigeria.
11 years ago
BBCSwahili12 May
Israel yasaidia Nigeria kuwatafuta wasichana
Kikosi cha Israel cha kukabiliana na ugaidi kinatarajiwa kujiunga na juhudi za kuwatafuta zaidi ya wasichana 200 waliotekwa nyara nchini Nigeria na wanamgambo wa kundi la Boko Haram.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
09-May-2025 in Tanzania