Walimu Kenya wakataa kulegeza msimamo
Walimu watishia kuendelea na mgomo ikiwa hawatapewa nyongeza ya mshahara
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 May
Nigeria kulegeza msimamo wasichana waachiwe
SERIKALI ya Nigeria inasema kuwa iko tayari kuzingatia mbinu zote, zitakazowezesha kuachiliwa huru na salama kwa zaidi ya wasichana 200 wa shule, waliotekwa nyara na wanamgambo wa Kiislamu wa Boko Haram.
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Walimu wakataa kurudi kazini
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
Virusi vya corona: Serikali zimeanza kulegeza masharti ya kukabiliana maambukizi, Je kulegeza masharti ni hatari kiasi gani?
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Coronavirus: Kenya yabadili msimamo wake wa kuwarudisha nyumbani wanafunzi waliopo Wuhan China
10 years ago
Habarileo30 Jun
Walimu Watanzania wakamatwa Kenya
WALIMU wawili wapya wa Shule ya Msingi Sang’ang’a kata ya Pemba tarafa ya Inchugu wilayani Tarime, mkoani Mara wanashikiliwa nchini Kenya kwa kosa la kuingia nchini humo bila kuwa na kibali.
9 years ago
BBCSwahili03 Oct
Walimu wasitisha mgomo Kenya
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Walimu Kenya kurudi kazini leo
NAIROBI, KENYA
VYAMA vya walimu nchini vimetii agizo la mahakama, na hivyo kutangaza kusitisha mgomo na kuwaomba walimu kuripoti kazini kuanzia leo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Taifa cha Walimu (KNUT), Wilson Sossion aliwataka walimu wote waliokuwa kwenye mgomo kurudi darasani akisema kuwa leo ni mwanzo mpya wa muhula wa tatu.
Aidha Chama cha Walimu wa Taasisi za Kati (KUPPET) pia kiliwaomba wanachama wake kurejea kazini.
Hata hivyo, Sossion alisema bado wana hofu kuwa serikali inalenga...
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Mahakama yasitisha mgomo wa walimu Kenya
9 years ago
BBCSwahili24 Aug
Kenya:Walimu kupewa nyongeza ya asilimia 60