Walimu Watanzania wakamatwa Kenya
WALIMU wawili wapya wa Shule ya Msingi Sang’ang’a kata ya Pemba tarafa ya Inchugu wilayani Tarime, mkoani Mara wanashikiliwa nchini Kenya kwa kosa la kuingia nchini humo bila kuwa na kibali.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
2 wakamatwa na maguruneti Kenya
Polisi wanasema kuwa wawili hao mtu na mkewe waliwauzia vijana maguruneti waliyotumia kwa mashambulizi mjini Mombasa karibu wiki 2 zilizopita
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
11 years ago
BBCSwahili24 Mar
100 wakamatwa mjini Mombasa, Kenya
Watu 100 wamekamatwa mjini Mombasa Pwani ya Kenya kufuatia shambulizi lililofanywa ndani ya kanisa moja mjini humo na kuwaua watu 4.
11 years ago
BBCSwahili01 Apr
200 wakamatwa baada ya shambulizi Kenya
Polisi nchini kenya wamewakamata zaidi ya watu 200 kufuatia mashambulizi ya hapo jana jijni Nairobi ambapo watu 6 waliuawa.
11 years ago
Michuzi07 Apr
watanzania wanne wakamatwa na polisi huko macau, china, wakijihusisha na biashara ya ngono
Kwa taarifa kamili na Jestina George BOFYA HAPA
11 years ago
BBCSwahili08 Apr
Zaidi ya watu elfu nne wakamatwa Kenya
Serikali ya Kenya imesema kwa sasa inawashikilia zaidi ya watu elfu nne kufuatia operesheni usalama mjini Nairobi
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
100 wakamatwa kwa kumvua nguo mwanamke Kenya
Polisi mjini Nairobi wamewakamata watu 100 katika msako baada ya mwanamke mwingine kuvuliwa nguo katika mtaa wa mabanda wa Kayole mjini Nairobi.
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya corona: Watanzania 2 wazuiwa kuingia nchini Kenya huku idadi ya wagonjwa Kenya ikifikia 715
Raia wawili wa Tanzania wamezuiwa kuingia nchini Kenya katika mpaka wa Isibania baada ya kukutwa na virusi vya corona, kulingana na wizara ya afya nchini humo.
9 years ago
BBCSwahili03 Oct
Walimu wasitisha mgomo Kenya
Mgomo wa walimu nchini Kenya hatimaye umesitishwa.Walimu sasa watarudi shuleni ili kuendelea kufunza siku ya jumatatu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania