Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nigeria yawika katika tuzo za MTV 2015

Wanamuziki kutoka Nigeria kwa mara nyengine tena wamewika katika sherehe za tuzo za MTV Awards mwaka 2015 zilizoandaliwa katika eneo la KwaZulu-Natal ikinchini Afrika kusini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIAMOND, VANESSA MDEE WATAJWA TUZO ZA MTV 2015

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond', yupo katika kipengele cha Best Male. Staa wa muziki Tanzania, Vanessa Mdee 'Vee money',  yupo katika kipengele cha Best Female . Best Male
AKA…

 

10 years ago

GPL

NE-YO KUFANYA MAKAMUZI KWENYE TUZO ZA MTV (MAMAs) 2015

Ne-yo. STAA kutoka nchini Marekani ambaye ni mwimbaji, mwandishi wa mashahiri, dansa na mwigizaji, Ne-yo ni mmoja mwa wasanii watakaotoa burudani katika utoaji Tuzo za Muziki za MTV Africa (MAMAs) huko nchini Afrika Kusini. Taaarifa hiyo imethibitishwa na habari iliyowekwa katika akaunti ya Twitter ya MTV Africa ikieleza kuwa mkali huyo wa R&B tayari amethibitisha kupiga shoo katika tuzo hizo. Tuzo… ...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Diamond akabidhiwa tuzo zake za MTV EMA 2015

diamond ema

Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best African Act’ na ‘Best World Wide Act’ kwenye MTV EMA 2015, hatimaye Diamond Platnumz amekabidhiwa rasmi tuzo zake Ijumaa hii Dec 11.

dai ema

Kupitia Instagram yake Diamond alipost picha akikabidhiwa tuzo hizo na kuandika:

“What a nice day.. have jus Received my Trophies from @MtvEma as the #BestAfricanAct #BestWorldWideAct only God knows How much i was waiting for them….@melaniecarmen @babutale … thaks alot @MtvEma”

Tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilitolewa...

 

9 years ago

Bongo5

Eddie Kenzo ashinda ‘African Artist of The Year’ aliyokuwa akiwania na Diamond katika tuzo za ‘Nigeria Entertainment Awards’ 2015 (NEA)

Tuzo za Nigeria Entertainment Awards 2015 (NEA) zimetolewa usiku wa Sept .6 huko New York nchini Marekani, lakini safari hii bahati ya ushindi haikuwa kwa msanii wa Tanzania aliyekuwa akituwakilisha katika tuzo hizo. Msanii wa Uganda, Eddie Kenzo ndiye aliyeibuka mshindi wa kipengele cha ‘African Artist of The Year’ ambacho kilikuwa ni maalum kwa wasanii […]

 

9 years ago

Bongo5

Orodha kamili ya vipengele vyote vya tuzo za MTV EMA 2015

Taylor Swift ndiye msanii anayeongoza kwa nominations nyingi kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 akiwa anawania vipengele 9, akifuatiwa na Justin Bieber mwenye nominations 6. Tuzo hizo zitaoaneshwa Live Jumapili ya October 25 kupitia MTV (DStv channel 130) na MTV Base (DStv channel 322) kutokea Milan, Italy zitakakotolewa. Upigaji kura tayari umefunguliwa kupitia […]

 

9 years ago

Michuzi

Diamond Platnumz atwaa Tuzo nyingine toka Italy MTV EMA 2015

Katikati ya mwezi September 2015 tuliipata good news kwenye kiwanda cha Muziki Tanzania, East Africa na Africa kwa ujumla ambapo list ya wakali wa muziki wanaowania Tuzo za MTV EMA 2015 ilitangazwa, kilichoongeza furaha ilikuwa kushuhudia majina ya mastaa kama AKA toka South Africa, Yemi Alade na Davido toka Nigeria na pia mkali toka Bongo +255, Diamond Platnumz nae alikuwemo pia kwenye list hiyo.Good news nyingine ni kwamba Diamond Platnumz amefanikiwa kuibuka na ushindi wa Tuzo moja...

 

9 years ago

Bongo5

MTV EMAs 2015: Justin Bieber anyakua tuzo 5, pata orodha kamili ya washindi

Jumapili ya Oct.25 ulikuwa ni usiku wa furaha zaidi kwa mwimbaji wa Canada, Justin Bieber ambaye ameshinda tuzo 5 kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilizofanyika Milan, Italy. Bieber ambaye pia alitumbuiza hit song yake ‘What Do You Mean?’ ameshinda vipengele vya ‘Best Male’, ‘Best Look’, ‘Worldwide Act: North America’, ‘Biggest Fans’ na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani