Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nikipita wananipiga vijembe

Nikipita wananipiga vijembePole kwa majukumu shangazi mkubwa. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 30. 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Mwananchi

Matusi, vijembe, vyatawala Bunge

Bunge Maalumu la Katiba limeendelea kutawaliwa na vijembe na mipasho, huku baadhi ya wajumbe wakitambiana kujua misemo, mbinu na nahau na kuacha kujadili mambo ya msingi.

 

9 years ago

GPL

LULU AMRUSHIA VIJEMBE HUSNA

Imelda Mtema STAA mdogo kwenye kiwanda cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameonekana kumrushia vijembe hasimu wake mkubwa mlimbwende Husna Maulid kwa kile alichodai kuwa anamuibia maelezo yake ya picha (caption) kwenye mtandao wake wa Instagram.  ....Soma zaidi====>http://goo.gl/LHQBq0

 

10 years ago

BBCSwahili

Museveni ampiga vijembe Mbabazi

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameijibu video ya waziri mkuu na katibu mkuu wa zamani Amama Mbabazi ya kutangaza nia yake ya kuwania Urais.

 

9 years ago

Mwananchi

Uchaguzi ni zaidi ya mafuriko na vijembe

Joto la Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 linazidi kupanda. Zimebaki siku zisizozidi 31 ili kufikia siku hiyo kwa Watanzania kujua mustakabali wa kiuongozi wa nchi yao kwa miaka mitano ijayo.

 

11 years ago

Habarileo

WanaCCM wasikitikia vijembe vya bungeni

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema wanasikitishwa na tabia za viongozi wa CCM badala ya kujadili matatizo ya wananchi bungeni wanaanza kutupiana vijembe na wapinzani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mawaziri wajibu hoja kwa vijembe

Tambo, kejeli, vijembe na kampeni vilitawala bungeni mjini hapa jana wakati mawaziri wakijibu hoja za wabunge wa upinzani waliokosoa Hotuba ya Makadirio na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2015/16.

 

10 years ago

Habarileo

Vijembe vya kisiasa vyatawala bungeni

Mbunge wa Mtera, Livingstone LusindeVIJEMBE vya kisiasa jana vilichukua sehemu kubwa ya mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu unaoendelea, ambapo mvutano mkubwa ulikuwa kati ya Serikali na vyama vya upinzani nani amechoka.

 

10 years ago

Bongo Movies

Snura Ampiga vijembe Wema Sepetu

Aliyewahi kuwa swahiba  wa mbunge  mtarajiwa  Wema Sepetu, Snura Mushi ametoa kauli zenye mlengo  wa kumpiga vijembe Wema.

“ Naepukana na unafiki  tena naweza kusema ni  roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yanatumia muda  mwingi  kuwadis wengine, mfano hivi sasa wakata Diamond anawania  tuzo za kimataifa  eti kuna watu wanaungana na watu wan je kufanya kampeni ashindwe,” alisema Snura.

Snura anadai kuwa  siku hizi makundi  ambayo  yanaundwa na wasanii au wapenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani