Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matusi, vijembe, vyatawala Bunge

Bunge Maalumu la Katiba limeendelea kutawaliwa na vijembe na mipasho, huku baadhi ya wajumbe wakitambiana kujua misemo, mbinu na nahau na kuacha kujadili mambo ya msingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Vijembe vya kisiasa vyatawala bungeni

Mbunge wa Mtera, Livingstone LusindeVIJEMBE vya kisiasa jana vilichukua sehemu kubwa ya mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu unaoendelea, ambapo mvutano mkubwa ulikuwa kati ya Serikali na vyama vya upinzani nani amechoka.

 

11 years ago

Mwananchi

Mjadala huu wa matusi, kejeli, vijembe, hauna tija

Lugha ya Kiswahili ina utajiri mkubwa wa misemo, nami ambaye ni mswahili kindakindaki, hupenda kuitumia misemo hiyo ninapotaka kujenga hoja.

 

10 years ago

Vijimambo

Vijembe Vya Kisiasa Vyatawala Bungeni......Lusinde Asema Dr Slaa Hafai Kuwa Rais Maana Ikulu Sio Wodi Ya Wagonjwa


VIJEMBE vya kisiasa jana vilichukua sehemu kubwa ya mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu unaoendelea, ambapo mvutano mkubwa ulikuwa kati ya Serikali na vyama vya upinzani nani amechoka.
Akizungumza bungeni kwa vijembe, Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), alisema hoja ya kambi rasmi ya upinzani kuwa Serikali imechoka, inawezekana ni kweli ila haikuwekwa vizuri.Alifafanua kuwa Serikali imefanya kazi kubwa ya kukopesha wanafunzi, kutoa huduma ya afya, kujenga barabara kusambaza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hatutaki vijembe, kejeli Bunge la Bajeti

KESHOKUTWA vikao vya Bunge la Bajeti ya mwaka 2014/2015 vinaanza mkoani Dodoma ambapo serikali imetoa mwelekeo wa bajeti ambao unafikia sh trilioni 19.6 ikilinganishwa na sh trilioni 18.2 za mwaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta awarushia vijembe wanaoponda bunge

Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta jana aliwatupia vijembe watu aliodai wanamkejeli na kumtukana baada ya Bunge hilo kuendelea na vikao vyake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaopenda matusi wafungue madarasa nje ya Bunge

WATANZANIA waliopo Bara na Visiwani na majirani zetu wanaofahamu lugha ya Kiswahili, wamejifunza mengi katika awamu ya kwanza ya Bunge Maalumu la Katiba liliomalizika Dodoma hivi karibuni. Miongoni mwa mafunzo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Bunge la Bajeti 2014/2015: lisiwe la Vurugu, Matusi na Kejeli

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifunga Bunge  leo twasira ya muono wa Mandhari ilivyokuwa.

Tamko Vikao Vya Bajeti 20142015 by moblog

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Pindi Chana azindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb) akizundua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni na wanaofanya shughuli zao katika sekta zisizo rasmi. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Belinda Jijini Dar es salaam tarehe 27 Februari 2015. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akizungumza mara baada ya kuzindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani