Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nililala nikiwa naona, nikaamka na upofu

>“Wengi wetu tunaishi bila kujiuliza maswali kama; “Itakuwaje iwapo siku nitaamka nikiwa sina uwezo wa kuona tena? Hatujiulizi maswali kama haya kwa sababu tunavichukulia vitu muhimu kuwa vya kawaida tu.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mourinho: Naona aibu

Siku moja baada ya kuambulia kichapo cha 2-1 dhidi ya Leicester, mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho sasa anadai wachezaji wanamsaliti

 

9 years ago

Mwananchi

Ndesamburo: Naona fahari kuwaangusha mawaziri wa JK

Mwenyekiti wa Chadema wa Kilimanjaro, Philemon Ndesamburo anaona fahari kuwaangusha mawaziri wawili  wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Smile Ft. Bob Junior — Naona Raha

Msanii Smile ameachia wimbo mpya unaitwa “Naona Raha” amemshirikisha Bob Junior wimbo umeataarishwa katika studio za Sharobaro Record. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli: Naona dalili njema kushinda urais

MGOMBEA wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema ameona dalili njema ya ushindi kwani kabla ya kupiga kura yake jana mjini Chato, mvua ilianza kunyesha. Dk Magufuli alisema hayo jana muda mfupi baada ya kumaliza kupiga kura yake katika Shule ya Msingi ya Magufuli wilaya ya Chato Mkoa wa Geita.

 

11 years ago

GPL

MAIMARTHA AUKARIBISHA UPOFU

Stori: Shakoor Jongo
MWANADADA mtangazaji na mjasiriamali, Maimartha Jesse anaonekana kuukaribisha upofu kufuatia kukithiri kutumia gundi katika kujipachika kope bandia. Maimartha Jesse. Kwa mujibu wa daktari wa Ijumaa, wanawake wanaobandika sana kope bandia wanajiweka kwenye hatari ya kupata upofu ambapo Mai ni miongoni mwao. Katika tukio la hivi karibuni mwanadada huyo alionekana akiwa amejibandika gundi katika harakati ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Je, mapenzi yana upofu?

Siku moja nilikuta watu wakibishana kama mapenzi yana hali ya upofu ama hapana. Wale waliokuwa wakiamini mapenzi yana upofu wanasema wanaamini hivyo kwa sababu mtu anayependa hata kama anayempenda ana chongo yeye husema ni makengeza tu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Upofu wa watawala utaliangamiza Taifa

“SINA kawaida ya kulizwa na mambo ya siasa, lakini katika kikao hicho nilishindwa kujizuia kulia. Sikupata maelezo ya maana ya kuwafanya watu wazima wafanye walivyofanya” Haya ni matamshi ya Baba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Viagra husababisha upofu.

Watafiti nchini Australia wanadai kwamba dawa inayotumiwa kuongeza nguvu za kiume VIAGRA husababisha upofu baada ya mda mrefu.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Davista ft. Mo Music — Upofu

Davista ni msanii mpya kutoka Rock City, Mwanza ambaye ameachia wimbo wake wa kwanza akiwa ameshirikisha Mo Music. Video ya wimbo huu uitwao ‘Upofu’ imeongozwa na director Nicklass na audio imetayarishwa na producer Lollipop. Mbali na muziki Davista pia ni Baharia. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani