Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ninafanya mapenzi mara 500 kwa siku — Kim Kardashian

Kupitia promo ya msimu wa 10 wa kipindi cha TV cha ‘Keeping Up With the Kardashians’, Kim Kardashian ameshare habari nyeti kuhusiana na maisha ya mapenzi na mume wake Kanye West. Video hiyo inayorushwa kwenye kituo cha TV cha E!, Kardashian anasema: I’ve been having sex 500 times a day.” Kauli hiyo ilionesha kumshtua mdogo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Mimba yamfanya Kim Kardashian kula mara kwa mara

kim-kardashianNEW YORK, MAREKANI

MKE wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, Kim Kardashian, ameweka wazi kwamba anashindwa kula kwa mpangilio kwa kuwa huwa anahisi njaa mara kwa mara.

Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 35, anatarajia kupata mtoto wa pili, awali mrembo huyo alikuwa akifuata ratiba ya mlo kamili lakini kwa sasa imeshindikana.

“Kwa hatua niliyofikia kwa sasa nahisi mtoto nitakayejifungua atakuwa anakula sana kama ninavyokula mimi mara kwa mara bila kuwa na mpangilio wa chakula,”...

 

11 years ago

CloudsFM

KIM KARDASHIAN APOST PICHA ZAKE ZA HARUSI NA KANYE WEST KWA MARA YA KWANZA KWENYE INSTAGRAM

Kim Kardashian na Kanye West wakiwa wameshikana mikono baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki iliyopita huko Forte di Belvedere Florence, Italia.

 

10 years ago

GPL

MADAKTARI WAMTAHADHARISHA KIM KARDASHIAN KUPUNGUZA KUFANYA MAPENZI

Kim Kardashian. MADAKTARI wamemuonya mwanadada Kim Kardashian kuacha tabia yake ya kufanya mapenzi mara nyingi kwa kuwa ni hatari kwa afya yake. Kanye na mkewe Kim. Mrembo huyo ambaye ni mke wa mwanamuziki Kanye West alikiri katika sehemu ya 10 ya kipindi chao cha familia kinachoruka runingani kuwa yeye na mumewe wanafanya mapenzi mara 15 kwa siku wakijaribu kupata mtoto mwingine. Wanandoa hao tayari wana mtoto mwenye miezi 20...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kim Kardashian aonywa ngono za kila mara

Kila wakati inadhaniwa kuwa ni dhana kile kinachozungumzwa juu ya Kim Kardashian , lakini sasa imethibitika.

 

9 years ago

Bongo5

Kim Kardashian anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili siku ya Christmas

Rapper Kanye West na mkewe Kim Kardashian ambaye ni mjamzito wanatarajia kumpokea mdogo wake na North siku ya Christmas, ambapo Kim ndio anatarajia kujifungua. Kwa mujibu wa TMZ, Kim K anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili Dec. 25. Vyanzo vya karibu vimedia kuwa couple hiyo tayari ime ‘book’ Deluxe Maternity Suite kwenye hospitali ya Cedars-Sinai […]

 

5 years ago

Showbiz Cheat Sheet

Kardashian Fans Think Kourtney and Kim Kardashian are the Most 'Naturally Beautiful' of Their Sisters

Kardashian Fans Think Kourtney and Kim Kardashian are the Most 'Naturally Beautiful' of Their Sisters  Showbiz Cheat SheetKourtney Kardashian Reacts Kylie Jenner & Travis Scott Getting Exposed By Mason Disick  HollywoodLifeWhy Kourtney Kardashian Made Mason Disick Delete His Instagram  E! NEWSMason Disick just spilled the tea about Kylie Jenner and Travis Scott  cosmopolitan.comKim Kardashian Shades Kylie Jenner & Kendall Jenner In New Video  HollywoodLifeView Full coverage on Google...

 

5 years ago

Cosmopolitan.Com

Kim Kardashian and Kourtney Kardashian Are "Embarrassed" About Their 'KUWTK' Fight

Kim Kardashian and Kourtney Kardashian Are "Embarrassed" About Their 'KUWTK' Fight  Cosmopolitan.comKhloé Kardashian would ‘demolish Kourtney if they ever fight  Geo NewsKourtney Kardashian and Scott Disick's Co-Parenting Might Be 'Just For Show' According to Fans  Showbiz Cheat SheetKendall Jenner thinks Kourtney Kardashian’s breakup with Scott Disick is the reason behind her family feud  PINKVILLAKourtney Kardashian defends her stance on motherhood: ‘raising children is a job  Geo NewsView...

 

10 years ago

GPL

AMBER ROSE ALIPA KISASI KWA KIM KARDASHIAN

Mwanamitindo, Amber Rose. New York, Marekani
MWANAMITINDO, Amber Rose hivi karibuni amefanya kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni kulipa kisasi kwa mwanamitindo mwenzake, Kim Kardashian cha kummiliki x-boyfriend wake, Kanye West baada ya kuonekana usiku wa manane na aliyekuwa mume wa Kim, 6+99 Kris Humphries. Chanzo kinafunguka kuwa tukio hilo lilijiri kwenye ukumbi wa usiku wa Playboy Mashion. “Amber hakufurahishwa na...

 

9 years ago

Bongo5

Mcheza kikapu na mume wa zamani wa mdogo wake Kim Kardashian yupo hoi na hajitambui kwa kuzidisha dawa za kulevya

Mchezaji wa kikapu wa Marekani, Lamar Odom anapigania maisha yake baada ya kudaiwa kutumia kiasi kikubwa cha cocaine kiasi cha kupatwa na kiharusi na figo zake kushindwa kufanya kazi. Lamar ni mume wa zamani wa mdogo wake na Kim Kardashian, Khloe. Kufuatia habari za mchezaji huyo wa zamani wa LA Laker kuzidisha madawa ya kulevya, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani