Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NINI CHA KUFANYA MUMEO ANAPOZAA NJE YA NDOA?-2

Ni wiki nyingine tunapokutana tena katika ukurasa wetu huu. Mada ambayo tulianza kuijadili wiki iliyopita, ilikuwa ni nini cha kufanya unapogundua kuwa mumeo amezaa mtoto nje ya ndoa. Tuliangalia mfano wa dada yetu mmoja ambaye alieleza kisa chake jinsi mumewe alivyozaa mtoto nje ya ndoa kiasi cha kumfanya ashindwe cha kuamua. Maoni yalikuwa mengi mno, nikushukuru msomaji wangu uliyeshiriki kutoa maoni yako. Nilichojifunza na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NINI CHA KUFANYA MUMEO ANAPOZAA NJE YA NDOA?

Nianze kwa kumshukuru Mungu ambaye ameniweka hai mpaka siku hii ya leo, tunapokutana tena kwenye uwanja wetu huu kujuzana, kujadiliana, kuelimishana na kuzungumzia ishu mbalimbali zinazohusu uhusiano wa kimapenzi. Leo nataka kuzungumza na wewe mama, dada, shangazi au mwanamke ambaye upo kwenye uhusiano wa kudumu, nikimaanisha umeolewa. Je, umewahi kugundua, kuhisi au kuambiwa kwamba mumeo mliyeishi pamoja kwa kipindi kirefu,...

 

10 years ago

Vijimambo

NINI CHA KUFANYA MUMEO ANAPOZAA NJE YA NDOA?-2


Ni wiki nyingine tunapokutana tena katika ukurasa wetu huu. Mada ambayo tulianza kuijadili wiki iliyopita, ilikuwa ni nini cha kufanya unapogundua kuwa mumeo amezaa mtoto nje ya ndoa.

Tuliangalia mfano wa dada yetu mmoja ambaye alieleza kisa chake jinsi mumewe alivyozaa mtoto nje ya ndoa kiasi cha kumfanya ashindwe cha kuamua. Maoni yalikuwa mengi mno, nikushukuru msomaji wangu uliyeshiriki kutoa maoni yako.

Nilichojifunza na ambacho nataka na wewe msomaji wangu, ambaye una tatizo kama hili...

 

9 years ago

GPL

UNATAFUTA MCHUMBA? NINI CHA KUFANYA?

KWENYE dunia ya leo kila mtu aliyekamilika anahitaji mchumba. Uchumba ni hatua muhimu ya kuelekea kwenye ndoa. Huwezi kuingia kwenye ndoa bila kupitia katika safari ya uchumba. Safari hii inahitaji umakini wa hali ya juu maana ukikosea, safari ya kuelekea kwenye ndoa itakuwa na matatizo kwako. Hiyo ndiyo sababu ya leo kukuletea mada hii ili wewe msomaji wangu upate kuelimika. Lazima tutambue kwamba, safari ya uchumba inaanza kwa...

 

10 years ago

GPL

HAKURIDHISHI FARAGHA, NINI CHA KUFANYA?

NIJumamosi nyingine mpenzi msomaji wa safu hii ya Show The Love tunakutana kwa ajili ya kupeana darasa la uhusiano.Uzuri wa mapenzi ni kuridhishana. Kila mmoja ‘ainjoi’ kukutana na mwenzake, alifurahie tendo katika hali ambayo hawezi kuwa na hamu ya mapenzi pindi mnapokuwa mmemaliza tendo. Kinyume na hapo, kukiwa na tatizo katika upande mmoja, furaha ya tendo inaondoka. Mmoja kati ya wapendanao anakuwa na shauku ya...

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA NI KIASHIRIA CHA NINI?-2

KUVIMBA kwa kuta za uke kutokana na kushambuliwa na fangasi (candida albicans ) au bakteria. Kuta hizi huanza kuwa na vijitundu vidogo vidogo na kadiri muda unavyokwenda bila kutibiwa vitundu hivi huongezeka ukubwa na kuwa kama vidonda na hatimaye kuta za uke kuanza kumomonyoka na hali hii huondoa kabisa hamu ya kushiriki tendo. Matatizo ya shingo ya kizazi (cervical incompetence) kutokana na maambukizi ya fangasi maeneo hayo....

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA NI KIASHIRIA CHA NINI? - 3

KUVIMBA kwa kuta za uke kutokana na kushambuliwa na fangasi (candida Albicans) au bakteria. Kuta hizi huanza kuwa na vijitundu vidogo vidogo na kadiri muda unavyokwenda bila kutibiwa, vitundu hivi huongezeka ukubwa na kuwa kama vidonda na hatimaye kuta za uke kuanza kumomonyoka na hali hii huondoa kabisa hamu ya kushiriki tendo. Matatizo ya shingo ya kizazi (cervical incompetence) kutokana na maambukizi ya fangasi maeneo hayo....

 

10 years ago

GPL

NINI CHA KUFANYA WAZAZI, NDUGU WANAPOMCHUKIA UMPENDAYE?-2

Tuliangalia mfano wa jinsi mwanaume mmoja ambaye yupo ndani ya ndoa kwa kipindi cha miaka kumi, alivyokuwa kwenye mgogoro mkubwa baada ya mke wake wa ndoa kutokea kuwachukia na kuwadharau mno wazazi wa mwanaume kwa sababu ambazo anazijua mwenyewe. Wazazi nao wakaja juu na kumwambia achague moja, mke au wazazi na kujikuta akishindwa kuamua. Leo tunaendelea kueleza nini cha kufanya unapotokewa na hali kama iliyomkuta ndugu yetu...

 

10 years ago

GPL

NINI CHA KUFANYA MPENZI WAKO ANAPOWASILIANA NA EX WAKE?-2

Shukrani ziende kwake Muumba ambaye kwa mara nyingine ametupa nafasi ya kukutana kwenye uwanja wetu huu, tukijuzana, kuelimishana na kubadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita tulianza kuijadili mada hii kama inavyosomeka kwenye kichwa cha habari kuhusu hatua unazopaswa kuzichukua unapogundua kuwa mpenzi wako, mumeo au mkeo ana mawasiliano na mpenzi wake wa zamani (ex wake)....

 

10 years ago

GPL

NINI CHA KUFANYA WAZAZI, NDUGU WANAPOMCHUKIA UMPENDAYE?

Je, upo kwenye uhusiano wa kimapenzi, unampenda sana mume, mke, mchumba au mpenzi uliyenaye lakini wazazi au ndugu zako wanamchukia na kila siku wanampiga vita? Mada ya leo ni kwa ajili ya wewe msomaji wangu ambaye upo kwenye mazingira kama haya ya wazazi au ndugu kumkataa umpendaye kwa sababu ambazo wanazijua leo. Kwa ambao wamewahi kupitia changamoto hii au bado wapo ndani yake, watakuwa wanaelewa vizuri ugumu uliopo linapokuja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani