Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nini kiliikumba ndege ya Ujerumani?

Wakaguzi wa kifaransa wamesema wamefanikiwa kukipata kifaa cha kurekodia sauti na maneno kutoka katika kisanduku cheusi .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Ujerumani iliangushwa makusudi

Rubani wa ndege ya Ujerumani ilioanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa siku ya jumanne alitaka kuiharibu ndege hiyo

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA UJERUMANI ILIANGUSHWA MAKUSUDI {UBUYU}


Rubani Andreas Lubitz


Rubani wa ndege ya kampuni ya Germanywings ilioanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa siku ya jumanne alitaka kuiharibu ndege hiyo kulingana na maafisa wa Ufaransa.Kiongozi wa mashtaka katika mji wa Mersaille ,Brice Robin, akizungumza kulingana na habari aliyopata katika kijisanduku cha kunasa sauti katika ndege amesema kuwa rubani huyo alikuwa ndani ya chumba cha kuendesha ndege pekee.Rubani huyo kimakusudi aliishusha ndege hiyo kwa kasi huku rubani mwenza akiwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,sheria za ndege Ujerumani zina dosari?

Shirika la usalama wa safari za ndege Ulaya lilielezea wasi wasi wake kuhusu kasoro za sheria za usafiri wa ndege Ujerumani

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Ujerumani yaanguka nchini Ufaransa

Ndege ya shirika la ndege la Ujerumani imeanguka katika eneo la milima ya Alps nchini Ufaransa ikiwa na abiria 142 na wahudumu 6

 

10 years ago

GPL

NDEGE YA UJERUMANI YAANGUKA IKIWA NA WATU 150

Ndege ya shirika la ndege la Germanwing inayofanana na ile iliyoanguka. NDEGE ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Germanwing Airbus A320 imeanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa. Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria 142 na wahudumu sita ikitokea jijini Barcelona nchini Uhispania kuelekea Duesseldorf, Ujerumani. Ndege hiyo inayomilikiwa na shirika la ndege la Ujerumani Lufthansa chini ya nembo Germanwings...

 

10 years ago

GPL

NDEGE YA UJERUMANI: ZOEZI LA UTAFUTAJI MIILI LAENDELEA, KINASA SAUTI CHAPATIKANA KIKIWA KIMEHARIBIKA

Baadhi ya mabaki ya ndege ya Ujerumani aina ya Airbus A320 baada ya ajali. Helkopta ikielekea eneo la tukio kuendelea na uchunguzi. Kinasa sauti cha ndege hiyo kilichopatikana kikiwa kimeharibika. ZOEZI la utafutaji miili ya watu 150 waliopoteza maisha…

 

10 years ago

Vijimambo

KUNA NINI AIRASIA NDEGE NYINGINE IKIWA NA ABIRIA 160 YA POTEA



Ndege ya AirAsia
Shirika la ndege la AirAsia linasema kuwa limeanzisha shughuli ya kuitafuta ndege yake iliyopoteza mawasiliano na kituo cha kuelekeza safari za ndege dakika 45 baada ya kuondoka kwenye mji wa Surabaya nchini Indonesia.Zadi ya watu 160 walikuwa ndani ya ndege hiyo ya Airbus 320 iliyokuwa safarini kwenda nchini Singapore.
Wengi wa abiria waliokuwa ndani ya ndege hiyo wanatoka nchini Indonesia.
Msemaji wa wizara ya usafiri nchini Indonesia amesema mawasiliano yalipotea kati ya...

 

10 years ago

Vijimambo

HIZI HAPA NDIYO NYATU NYATU ZA RUBANI WA NDEGE ILIYOANGUKA HUKO UJERUMANI




Rubani alikuwa na matatizo ya akili
Ajali ya ndege
Viongozi wa mashtaka nchini Ujerumani wanasema kuwa wamepata ushahidi unaosema kwamba rubani wa ndege ya Ujerumani ilioanguka katika milima ya ALPS na kuwaua abiria 150 alikuwa amemficha mwajiri wake kuhusu ugonjwa anaougua.
Maafisa hao pia wamesema kuwa walipata kijikaratasi cha ugonjwa kilichokuwa kimekatwa ambacho kilimtaka rubani huyo kupumzika siku ya kuanguka kwa ndege hiyo.Maafisa wa Polisi wa ujerumani
Hatahivyo hawakupata ujumbe wowote...

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK

Ndege ya shirika la ndege la Delta leo AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa seng'enge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani