NIONAVYO: Hili la ujangili ukweli unauma
>Gazeti la The Mail on Sunday la Uingereza limemwaga upupu baada ya kuchambua jinsi biashara ya meno ya tembo na pembe za faru ilivyokithiri nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/3m1KF6y_sPY/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi21 Dec
NIONAVYO: Chadema kumbukeni, lisemwalo lipo
>Hakuna ubishi kwamba kwa siasa za Tanzania, Chadema ndiyo chama kikubwa cha upinzani kinachokinyima usingizi chama tawala CCM.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7zRtwDA0Shs/VQ_hgtHGS6I/AAAAAAAHMWE/Ls4U0PVIKi4/s72-c/unnamed%2B(65).jpg)
Vita ya ujangili yaungwa mkono,Kikosi cha kupambana na Ujangili chapata zana za kisasa
Kikosi cha kupambana na ujangili nchini kimepata vitendea kazi kutoka kwa wadau wa sekta ya utalii vitakavyowezesha kukabiliana na matukio ya ujangili yaliyoshika kasi nchini na kuhatarisha kutoweka baadhi ya wanyama.
Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni magari matano aina ya Land Cruser yenye thamani ya Sh 750 milioni,bunduki za kivita 50 aina ya Ak 47 na risasi 10,000 na Magazini 20 ambazo thamani haikutajwa kwa kwasababu za kiusalama.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya...

5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Zqeuj5ZwNG8/Xs5sVwcsfkI/AAAAAAALrvE/_oxuBiW5QBoku_TH5v7rT3VrmCs_jCo0wCLcBGAsYHQ/s72-c/cq5dam.thumbnail.cropped.750.422.jpeg)
MTAZAMO/HOJA/NIONAVYO- TAFITI KATIKA VYUO VYA KILIMO KUTIMIZA ADHMA YA UCHUMI WA VIWANDA
Na Ismail Ngayonga,MAELEZO-DAR ES SALAAM
SEKTA ya Kilimo nchini imeendelea kuwa ni Sekta muhimu katika maendeleo ya uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla hususan katika wakati huu tunapojizatiti kufikia uchumi wa viwanda. Katika kipindi cha miaka mitano, Pato la Taifa linalotokana na kilimo, kwa kutumia bei za Mwaka 2015 limeongezeka kwa asilimia 17 kutoka Tsh. Trilioni 25.2 Mwaka 2015 hadi Tsh. Trilioni 29.5 Mwaka 2019. Vilevile, sekta imeendelea kutoa ajira kwa Watanzania kwa...

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania