Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NISHA AHAMA MTAA KUWAKIMBIA VIBAKA

Salma Jabu maarufu kama Nisha. SALMA Jabu maarufu kama Nisha amelazimika kuhama mtaa aliokuwa akiishi mwanzo huko Kijitonyama, akiwakimbia vibaka baada ya hivi karibuni kumuibia vifaa ndani ya gari lake. Nyota huyo wa filamu ameamua kuhamia mitaa ya Mbezi Beach baada ya kuhisi huenda vibaka hao wanaweza kurudi na kumfanyia uhalifu mbaya zaidi ya ule wa kuligeuza gari lake gofu kwa kuiba kila kitu cha ndani. “Tangu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NISHA AFANYIWA KITU MBAYA NA VIBAKA

Gladness Mallya
MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuvamiwa na vibaka ambao walivunja  gari lake na kuchukua vifaa mbalimbali na fedha dola elfu moja za Marekani sawa na shilingi 1,900,000 za Kitanzania. Mwanadada anayefanya vizuri kunako gemu la filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Akielezea tukio hilo, Nisha alisema...

 

9 years ago

Dewji Blog

PSPF waanzisha kampeni mpya ya mtaa kwa mtaa kuhamasisha wanachama wake!

Balozi wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mrisho Mpoto Maalufu kama (Mjomba)   vyombo vya habari kuhusu kampeni ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika jijini Dar kushoto ni Afisa wa mfuko wa pensheni wa PSPF Hadji Hamis Jamadary.   Na Mwandishi Wetu Mfuko wa hifadhi za jamii wa pensheni (PSPF) kwa kuwajali watanzania waanzisha kampeni ya mtaa kwa mtaa ili kuweza kuungana na wananchi wa maeneo mbalimbali kwa kuwapa elimu  inayohusu mfuko huo wa pesheni kampeni hizo zimeanzia jijini Dar es salaam kwa...

 

9 years ago

Michuzi

MPIGANAJI WA MTAA KWA MTAA BLOG,MR. PENGO WA MBEYA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Kutoka shoto ni Mpiganaji Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo akimlisha Keki Mama yake Mzazi Stumai Maneno kama heshima katika Hafla ya Sherehe ya kuzaliwa kwa mwana Libeneke Fadhiri Atick kutimiza Miaka kadhaa iliyo fanyika nyumbani kwao huko jijini mbeya jana Tar.07-09-2015.Kutoka kulia ni Tecla Rashid na Fadhiri Atiki akizungumza jambo katika Hafla hiyo....Kutoka Shoto ni Mrs.Lweja akimpongeza Mwanalibeneke Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo Katika HafLa hiyo ya kusherehekea Siku ya Kuzaliwa kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani