NISHA AZUIWA KUTOKA NJE
![](http://api.ning.com:80/files/aq07GQXjwH3i5Ocy7-LwinW3kF-bTdxOt3wHsGgStgttaROKa7ZRkqPHU24wtzD3aTM4*RmAArS3dA6aljXcBhMKuIMisCVy/4nisha.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amezuiwa kutoka nje kutokana na sheria na taratibu zilizopo ndani ya familia yao nyumbani kwao Zanzibar. Salma Jabu ‘Nisha’. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, Nisha baada ya kufika nyumbani kwao visiwani Zanzibar, amekuwa hatoki nje kwani nduguze wamemwambia sheria hairuhusu kutokatoka nje bila sababu za msingi. Nisha alipoulizwa...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pJoks1-ldRw/XowOTx96iAI/AAAAAAALmUU/1xbHD8N08RQBXhMk5BmgBp3mBrQi-SK2wCLcBGAsYHQ/s72-c/1-11.jpg)
MKANDARASI AZUIWA KUTOKA NJE YA MKOA WA SONGWE
![](https://1.bp.blogspot.com/-pJoks1-ldRw/XowOTx96iAI/AAAAAAALmUU/1xbHD8N08RQBXhMk5BmgBp3mBrQi-SK2wCLcBGAsYHQ/s640/1-11.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela akizungumza wakati wa kukagua mabomba ya maji katika Mradi wa Iyula ambapo amemzuia Mkandarasi wa Mradi huo kutotoka Mkoa wa Songwe Mpaka atakapo kamilisha vifaa na wataalamu wote muhimu kwa ajili ya ukamilishaji wa Mradi huo.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/2-7.jpg)
Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wakikagua mabomba ya maji katika Mradi wa Iyula ambapo Mkuu wa Mkoa amemzuia Mkandarasi wa Mradi huo kutotoka Mkoa wa Songwe Mpaka atakapo kamilisha vifaa na wataalamu wote...
10 years ago
Bongo Movies01 Apr
Swali la Kizushi Kutoka kwa Nisha…..
Helloo wapenzi!? Eti ni nani kati ya hawa nikicheza nao huwa tunakukuna haswa mtima,yaani huwa unapenda couple yetu tukicheza pamoja,(taja wawili)
Mf:Mlela na Mau au vile ww unapenda (nb:hii inahusu wanaume niliyofanya nao kazi tu)
Nisha ameuliza mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu.
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-sW88-RkUXxs/VgU-to7NT5I/AAAAAAAH7J0/xD07iJI-XuI/s72-c/images.jpg)
TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI NA KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-sW88-RkUXxs/VgU-to7NT5I/AAAAAAAH7J0/xD07iJI-XuI/s200/images.jpg)
Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600
20 KIVUKONI FRONT, P.O. BOX 9000, 11466 DAR ES SALAAM, Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea kwa...
10 years ago
Vijimambo21 Jan
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia
9 years ago
Habarileo17 Oct
Chaneta wataka kocha kutoka nje
CHAMA cha Netiboli Tanzania (Chaneta) kimepokea kwa msisimko mkubwa hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuhusu Serikali kutositisha kuwalipia makocha wa timu za taifa.
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Marufuku ya kutoka nje tamati Sierra L
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Mkapa aiponda misaada kutoka nje
10 years ago
Mtanzania22 Jan
JK azuia mawaziri kutoka nje ya Dar
Na Bakari Kimwanga, Dar es Salaam
MAWAZIRI wote wamezuiwa kusafiri kikazi nje ya Jiji la Dar es Salaam kutokana na kile kinachoelezwa ni maandalizi ya kukabidhi ofisi kwa mawaziri wapya ambao wanatarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa.
Taarifa hizo zimekuja siku moja tu tangu Ikulu kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Salvatory Rweyemamu, kuwataka Watanzania kuwa na subira kwa kuwa Rais Jakaya Kikwete wakati wowote kuanzia sasa atatoa uamuzi dhidi ya tuhuma...
10 years ago
Habarileo20 Sep
Marufuku kutoka nje siku tatu
SIERRA Leone jana ilianza siku tatu za kujifungia ndani kwa wananchi wote, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na kusambaa kwa ugonjwa wa ebola.