Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chaneta wataka kocha kutoka nje

CHAMA cha Netiboli Tanzania (Chaneta) kimepokea kwa msisimko mkubwa hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuhusu Serikali kutositisha kuwalipia makocha wa timu za taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI NA KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Simu: 255-22-2114615, 211906-12

Barua pepe: nje@nje.go.tz

Barua pepe: gcu@nje.go.tz

Tovuti : www.foreign.go.tz

Nukushi: 255-22-2116600

              

 


                20 KIVUKONI FRONT,

                           P.O. BOX 9000,

                  11466 DAR ES SALAAM, 

                                    Tanzania.


 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Omog agomea kambi ya nje Azam FC

Dar es Salaam. Kocha mkuu wa Azam FC, Joseph Omog amewasilisha maombi matatu kwa uongozi wa timu hiyo yanayotakiwa kufanywa kwa haraka huku akisema hataki kambi ya nje ya nchi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Waandamanaji wataka marufuku ya kutokutoka nje iondoshwe Marekani kufungua uchumi

Wananchi wa Marekani wataka masharti ya kudhibiti corona yalegezwe licha ya dalili kuonesha bado ni mapema kufungua uchumi wa taifa hilo.

 

10 years ago

Vijimambo

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha (mwenye tai) akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Luigi Scotto alipotembelea Wizarani leo.Balozi Gamaha akisalimiana na Kansela Raffaele De Benedictis kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia ambaye alifuatana na Balozi Scotto walipotembelea Wizara ya Mambo ya Nje leo. Balozi wa Italia (katikati) akimtambulisha Kansela Benedictis kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia kwa Kaimu...

 

11 years ago

CloudsFM

KOCHA WA ITALIA AJIUZULU DAABA YA TIMU YAKE KUTUPWA NJE BRAZIL #Brazuka

uda mchache baada ya timu yake kuondolewa rasmi kwenye michuano ya kombe la dunia kwa kushindwa kufanya vyema katika mechi za makundi kwa mara ya pili mfululizo katika kombe la dunia, kocha Cesar Prandelli amefanya maamuzi magumu.Italia iliondolewa baada ya kufungwa kwa goli 1-0 na Uruguay katika mechi ya mwisho ya makundi.Baada ya mchezo Prandelli akiwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari alitangaza kujiuzulu kuifundisha timu hiyo.“Nilichagua mfumo fulani wa ukufunzi na ndio sababu...

 

11 years ago

GPL

NISHA AZUIWA KUTOKA NJE

Stori: Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amezuiwa kutoka nje kutokana na sheria na taratibu zilizopo ndani ya familia yao nyumbani kwao Zanzibar. Salma Jabu ‘Nisha’. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, Nisha baada ya kufika nyumbani kwao visiwani Zanzibar, amekuwa hatoki nje kwani nduguze wamemwambia sheria hairuhusu kutokatoka nje bila sababu za msingi.
Nisha alipoulizwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kinana: Tusitegemee misaada kutoka nje



NA THEODOS MGOMBA, MOSHI.
WATANZANIA wameshauriwa  kutotegemea misaada kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kuwaletea maendeleo yao. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, alisema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Moshi Vijijini, katika Kata ya Arusha Chini.
Kinana alisema hakuna mataifa kutoka nje ambayo yako tayari  kusaidia maenendeleo ya watu bila ya wao  kujitahidi kuondokana na umasikini.Alisema tabia hiyo ya kutegemea misaada kutoka nje inawafanya...

 

10 years ago

Mwananchi

Bidhaa kutoka nje zawatesa wakulima

Serikali imeshauriwa kutazama upya utaratibu wa kutoa vibali vya kuingiza nchini bidhaa mbalimbali kutoka nje ikiwamo sukari, ili kuwasaidia wakulima kupata soko la mazao wanayozalisha.

 

10 years ago

BBCSwahili

Urusi kuruhusu askari kutoka nje

Urusi imeanza kuruhusu askari kutoka nje wenye utalaam ili kuingia katika jeshi lake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani