Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bidhaa kutoka nje zawatesa wakulima

Serikali imeshauriwa kutazama upya utaratibu wa kutoa vibali vya kuingiza nchini bidhaa mbalimbali kutoka nje ikiwamo sukari, ili kuwasaidia wakulima kupata soko la mazao wanayozalisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Pembejeo zawatesa wakulima

Wakulima wengi nchini wameshindwa kufikia malengo kutokana na gharama za pembejeo na kutofautiana taratibu, kanuni na masharti ya aina ya mazao.

 

10 years ago

Mwananchi

Bei za mahindi, nyanya zawatesa wakulima

Wakulima wa nyanya na nafaka wa Tarafa ya Mazombe wamelalamikia kushuka kwa bei ya mazao hayo, huku pembejeo zikizidi kupanda bei.

 

5 years ago

Michuzi

TUZALISHE KWA WINGI BIDHAA TULIZOKUWA TUNAAGIZA KUTOKA NJE: PROF SHEMDOE


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe wa kwanza kulia akiwa kwenye Mkutano wa Watalaam wa Mashirika ya Viwango kutoka nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya Video katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania, wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Bw.Athuman Ngenya.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania...

 

9 years ago

Mtanzania

UNECA: Tanzania isiagize bidhaa nje

10569991454_30d97b3fae_bNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

OFISA wa Umoja wa Mataifa Kitengo cha Uchumi Afrika (UNECA), Hopestone Chavula, ameishauri Tanzania kuzalisha bidhaa zenye viwango ili kukwepa kuagiza vitu kutoka nje ya nchi.

Ushauri huo ameutoa jijini hapa jana wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa maendeleo ya viwanda na biashara Afrika kwa mwaka huu iliyofanyika katika Ukumbi wa Dar es Salaam Convention Center.

Chavula alisema watu wengi wamekuwa wakiamini bidhaa zenye ubora ni zile zinazozalishwa nje...

 

11 years ago

Mwananchi

Usafirishaji wa bidhaa nje unapaswa kutazamwa upya

Taasisi ya Kimataifa ya uangalizi wa masuala ya kiuchumi (BMI) imeonyesha hofu iwapo Tanzania inaweza kusimamia uchumi wake kukua kwa asilimia 7.3 mwaka huu, hasa kutokana na kushuka kwa uuzaji wa bidhaa nje ya nchi na kuongezeka kwa ununuaji wa bidhaa kutoka nje yakiwamo magari.

 

10 years ago

Mwananchi

Lugola atinga bungeni begi la bidhaa za nje

Mjadala wa Bajeti ya Serikali, ambao umetawaliwa na suala la kushuka kwa thamani ya shilingi, jana ulichukua sura ya pekee baada ya mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola kuingia na begi lililojaa bidhaa mbalimbali kutoka nje ambazo alizitumia kuthibitisha matumizi yasiyostahili ya fedha za kigeni.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yakamilisha mchakato kimataifa Kuuza Nje Bidhaa Zinazosindikwa

 

Serikali inakamilisha mchakato wa kuingia katika biashara ya kimataifa kwa kuuza nje ya nchi bidhaa za kilimo zinazosindikwa nchini badala ya kuuza ghafi.

Katika kukamilisha hilo, wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo, utalii na usindikaji wa ndani na nje ya nchi wameshiriki mkutano wa siku moja uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkutano wa siku moja uliofanyika Dar es Salaam, umejadili fursa na tija mbalimbali za biashara ya kimataifa kwa nchi masikini na zinazoendelea, ikiwemo...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI NA KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Simu: 255-22-2114615, 211906-12

Barua pepe: nje@nje.go.tz

Barua pepe: gcu@nje.go.tz

Tovuti : www.foreign.go.tz

Nukushi: 255-22-2116600

              

 


                20 KIVUKONI FRONT,

                           P.O. BOX 9000,

                  11466 DAR ES SALAAM, 

                                    Tanzania.


 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda: Ruksa wakulima kuuza mahindi nje

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema ruksa kwa wakulima walio na mahindi kuuza nje ya nchi. Hatua hiyo imetokana na wakulima wengi kuzuiwa kuuza mahindi yao nje ya nchi huku wakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani