Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usafirishaji wa bidhaa nje unapaswa kutazamwa upya

Taasisi ya Kimataifa ya uangalizi wa masuala ya kiuchumi (BMI) imeonyesha hofu iwapo Tanzania inaweza kusimamia uchumi wake kukua kwa asilimia 7.3 mwaka huu, hasa kutokana na kushuka kwa uuzaji wa bidhaa nje ya nchi na kuongezeka kwa ununuaji wa bidhaa kutoka nje yakiwamo magari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Dk Kigoda: Sheria za usafirishaji ziangaliwe upya

SERIKALI imesema ipo haja ya kuangalia baadhi ya sheria zilizowekwa katika sekta ya usafirishaji kwa kuwa nyingi ya sheria hizo zinafaidisha nchi jirani. Akizungumza kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mizengo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtalaa usafirishaji bidhaa wazinduliwa

Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imezindua mtalaa wenye sifa za watendaji wanaohusika na uondoaji na usafirishaji wa mizigo, kwa lengo la kupunguza gharama za biashara baina ya nchi wanachama.

 

5 years ago

Michuzi

NCHI ZA SADC ZATOA MWONGOZO WA USAFIRISHAJI WA BIDHAA MUHIMU

MWONGOZO WA USAFIRISHAJI WA BIDHAA MUHIMU NA HUDUMA KATIKA NCHI ZA SADC KWA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA VIRUSI  VYA CORONA (COVID – 19).

23 APRILI, 2020, DODOMATarehe 6 Aprili, 2020 ulifanyika Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Mkutano huo ulijadili janga la mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID-19) unaosababishwa na virusi vya Corona. Mkutano huo ulihusisha Mawaziri wenye dhamana ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...

 

5 years ago

Michuzi

Baraza la Mawaziri SADC, Laridhia Usafirishaji wa Bidhaa Muhimu, Kudhibiti Maambukizi ya Covid-19



Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC), ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi Akizungumza katika Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Mambo Nje, Mambo ya Ndani, Fedha na Mipango, Viwanda na Utalii wa SADC, kuhusu mwenendo wa...

 

5 years ago

CCM Blog

BARAZA LA MAWAZIRI SADC, LARIDHIA USAFIRISHAJI WA BIDHAA MUHIMU, KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA CORONA COVID-19

  Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC), ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi Akizungumza katika Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Mambo Nje, Mambo ya Ndani, Fedha na Mipango, Viwanda na Utalii wa SADC, kuhusu mwenendo wa Covid-19 kwa Nchi za SADC uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, TanzaniaMwenyekiti wa Mkutano wa...

 

5 years ago

Michuzi

Ndege ya mizigo kuimarisha usafirishaji samaki nje ya nchi


Waziri wa  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema mipango ya Serikali kununua ndege ya mizigo utaimarisha usafirishaji wa minofu ya samaki moja kwa moja kwenda nje ya nchi kutokea uwanja wa ndege wa Mwanza.

Waziri Kamwelwe ameyasema hayo Jumatatu Juni Mosi 2020 jijini Mwanza wakati akifungua mkutano wa kupokea mikakati ya pamoja kuondoa vikwazo na kufanikisha biashara ya usafirishaji minofu ya samaki kwenda nje ya nchi hususani mataifa ya Ulaya ambako kumekuwa na...

 

9 years ago

Mtanzania

UNECA: Tanzania isiagize bidhaa nje

10569991454_30d97b3fae_bNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

OFISA wa Umoja wa Mataifa Kitengo cha Uchumi Afrika (UNECA), Hopestone Chavula, ameishauri Tanzania kuzalisha bidhaa zenye viwango ili kukwepa kuagiza vitu kutoka nje ya nchi.

Ushauri huo ameutoa jijini hapa jana wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa maendeleo ya viwanda na biashara Afrika kwa mwaka huu iliyofanyika katika Ukumbi wa Dar es Salaam Convention Center.

Chavula alisema watu wengi wamekuwa wakiamini bidhaa zenye ubora ni zile zinazozalishwa nje...

 

10 years ago

Mwananchi

Bidhaa kutoka nje zawatesa wakulima

Serikali imeshauriwa kutazama upya utaratibu wa kutoa vibali vya kuingiza nchini bidhaa mbalimbali kutoka nje ikiwamo sukari, ili kuwasaidia wakulima kupata soko la mazao wanayozalisha.

 

10 years ago

Mwananchi

Lugola atinga bungeni begi la bidhaa za nje

Mjadala wa Bajeti ya Serikali, ambao umetawaliwa na suala la kushuka kwa thamani ya shilingi, jana ulichukua sura ya pekee baada ya mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola kuingia na begi lililojaa bidhaa mbalimbali kutoka nje ambazo alizitumia kuthibitisha matumizi yasiyostahili ya fedha za kigeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani