Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yakamilisha mchakato kimataifa Kuuza Nje Bidhaa Zinazosindikwa

 

Serikali inakamilisha mchakato wa kuingia katika biashara ya kimataifa kwa kuuza nje ya nchi bidhaa za kilimo zinazosindikwa nchini badala ya kuuza ghafi.

Katika kukamilisha hilo, wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo, utalii na usindikaji wa ndani na nje ya nchi wameshiriki mkutano wa siku moja uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkutano wa siku moja uliofanyika Dar es Salaam, umejadili fursa na tija mbalimbali za biashara ya kimataifa kwa nchi masikini na zinazoendelea, ikiwemo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Serikali Imewataka wanaouza Bidhaa za Kujikinga dhidi ya Covid-19, Kuuza kwa Bei iliyoko Sokoni


Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari(hawapo pichani), kuhusu bidhaa za kujinga na Covid-19, ambapo baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakipandisha bei, Waziri amewataka waache hiyo tabia kabla ya kuchukuliwa hatua kali, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBS. Dkt. Ngenya, na kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Ushindani (FCC), John Mduma katika mkutano na Waanshi wa Habari Jijini Dar es Salaam.

 ========  ========  =======
Serikali kupitia...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI IMEWATAKA WANAOUZA BIDHAA ZA KUJIKINGA DHIDI YA CORONA-19, KUUZA KWA BEI ILIYOKO SOKONI

   Na. Mwandishi Wetu-MAELEZOSerikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto na Taasisi mbalimbali za Serikali imejipanga vyema kukabiliana na changamoto zinazohusiana na mapambano dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Corona (Covid-19).
Katika kuhakikisha changamoto hizo zinatatuliwa jana Waziri Innocent Bashungwa ametembelea viwanda vinavyozalisha sabuni na Vitakasa mikono vilivyoko Jijini Dar es Salaam kuangalia bei ya bidhaa hiyo na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Familia ya Bob Marley kuuza bidhaa za Bangi

Familia ya aliyekuwa mwanamuziki wa Jamaica, Bob Marley imezindua kampuni wanayoitaja ya kwanza duniani kuuza bidhaa za Bangi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katomu Solar kuuza bidhaa kwa mtandao

“KAMPUNI yangu kwa sasa inatoa huduma ambazo ni za kisasa na zenye uhakika kwa kuwapelekea bidhaa wateja hadi majumbani mwao bila kujali umbali wa mahali anapoishi kutoka katika maduka yetu...

 

10 years ago

Mwananchi

Ruksa kuuza bidhaa India bila kulipia ushuru

>Wafanyabiashara nchini wamehamasishwa kuchangamkia na kuzitumia fursa maalumu za  upendeleo kwa kufanya biashara nchini India bila kulipia ushuru.

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NCHINI KUTEMBEA WAGENI WA KIMATAIFA MAKUMBUSHO YA TAIFA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akiwa kwenye ukumbi wa Sanaa, Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akipata maelezo ya Michoro ya Mapangoni kutokwa kwa Mtaalam wa Makubusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam Bi Agnes Gidna. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akipata maelezo...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yakamilisha usambazaji wa Katiba

SERIKALI imesema imekamilisha usambazaji wa Katiba Inayopendekezwa kwa halmashauri na mamlaka za miji 169 nchi nzima.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yadhamini uzinduzi wa Rocky City Mall: Kufanya gulio la kuuza bidhaa mbalimbali Mwanza

kinabo (3)

Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa, Beatrice Kinabo, akifafanua jambo kwa waandishi wa  habari jijini Mwanza jana, ambapo jengo la kimataifa la biashara(Rock City Mall) limekamilika na Tigo  watafanya gulio la kuuza bidhaa mbalimbali,kushoto  ni Katibu wa Bodi ya wakurugenzi wa Mwanza City Commercial Complex Company Limited Joseph Mlinzi na kulia ni Meneja wa Tigo pesa kanda ya Ziwa Issa Orry.

meneja tigo pesa kanda ya ziwa (1)

Meneja wa Tigo pesa kanda ya Ziwa Issa  Orry, akizungumza na waandishi wa habari...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Aibu Tanzania kuuza malighafi nje

MATAIFA mengi Afrika yanapambana kupiga hatua kufikia uchumi mkubwa na kuachana na utegemezi kutoka kwa mataifa yaliyoendelea huku Tanzania ikiendelea na dhana kuwa kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi wetu.

Katikati ya wiki, mchumi wa kimataifa aliyepata kufanya kazi Benki ya Dunia, Profesa Justin Yifu Li kutoka China, alisema jijini Dar es Salaam kwamba umasikini si majaaliwa Afrika, bali ni janga linalohitaji kuondolewa haraka kwa kuwekeza kwenye viwanda.

Alisema si lazima mataifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani