Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yakamilisha usambazaji wa Katiba

SERIKALI imesema imekamilisha usambazaji wa Katiba Inayopendekezwa kwa halmashauri na mamlaka za miji 169 nchi nzima.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Usambazaji nakala za Katiba usifanywe kisiasa

>Hatimaye nakala za Katiba Inayopendekezwa zimeanza kusambazwa katika kata zote 3,800 nchini ili kuwawezesha wananchi kuelewa vyema maudhui yaliyomo kabla ya kuipigia kura ya maoni ya kuikubali au kuikataa ifikapo Aprili 30, mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

WIZARA YATOA TAMKO JUU YA USAMBAZAJI WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari Elimu na Mawasiliano katika Wizara ya Katiba na Sheria, Farida Khalfan, akitoa tamko. Afisa Habari wa Wizara ya Katiba na Sheria ,Martha Komba (katikati), akionyesha muundo wa katiba inayopendekezwa.  Kulia ni Ofisa Habari wa Wizara ya Katiba na Sheria, Said Benjamin. Khalfan na Komba wakiandika maswali…

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yavuka lengo usambazaji umeme

Profesa Sospeter MuhongoSERIKALI imekiomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuipangia upya malengo ya kusambaza umeme kwa wananchi kwa sababu malengo yaliyopangwa katika Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa 2010 yamefikiwa na kupitwa hata kabla ya kumalizika kipindi cha miaka mitano.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yakamilisha mchakato kimataifa Kuuza Nje Bidhaa Zinazosindikwa

 

Serikali inakamilisha mchakato wa kuingia katika biashara ya kimataifa kwa kuuza nje ya nchi bidhaa za kilimo zinazosindikwa nchini badala ya kuuza ghafi.

Katika kukamilisha hilo, wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo, utalii na usindikaji wa ndani na nje ya nchi wameshiriki mkutano wa siku moja uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkutano wa siku moja uliofanyika Dar es Salaam, umejadili fursa na tija mbalimbali za biashara ya kimataifa kwa nchi masikini na zinazoendelea, ikiwemo...

 

10 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WAFADHILI USAMBAZAJI WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUTI

Pamoja na Tume ya  Taifa ya Uchaguzi kuahirisha  tarehe ya kupiga kura ya maoni, Shirika la Kimataifa linaloshughulikia Elimu na Utamaduni (UNESCO), kwa kushirikiana na Kampuni ya Focus Media pamoja na Mtandao wa radio za jamii  (COMNETA), limeamua kusambaza Katiba inayopendekezwa kwa njia ya sauti nchi nzima, ili wananchi wapate elimu  kuhusu maudhui yaliyomo ndani ya Katiba na kufanya maamuzi sahihi pindi siku ya kupiga kura itakapowadia. 
Aidha, mkakati huo wa kusambaza Katiba...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yasisitiza utekelezaji wa Sheria ya usambazaji na uuzaji wa kazi za Filamu na Muziki

IMG_8798

Mkurugenzi Sera na Utafiti wa TRA Bw. Tonedeus Muganyizi akizungumza na wana umoja wa uingizaji na uuzaji wa kazi za filamu na muziki zinazotoka nchi za nje wakati wa kikao cha wafanyabiashara hao na asasi zinazosimamia usambazaji na uuzaji wa kazi za filamu na muziki jana jijini Dar es Salaam.

IMG_8698

Wadau mbalimbali wakijadiliana wakati wa kikao cha wafanyabiashara na asasi zinazosimamia usambazaji na uuzaji wa kazi za filamu na muziki jana jijini Dar es Salaam.

IMG_8787

Wana umoja wa kuingiza na kuuza...

 

11 years ago

Michuzi

Serikali yasisitiza utekelezaji wa Sheria ya usambazaji na uuzaji wa kazi za Filamu na Muziki.

Mkurugenzi Sera na Utafiti wa TRA Bw. Tonedeus Muganyizi akizungumza na wana umoja wa uingizaji na uuzaji wa kazi za filamu na muziki zinazotoka nchi za nje wakati wa kikao cha wafanyabiashara hao na asasi zinazosimamia usambazaji na uuzaji wa kazi za filamu na muziki jana jijini Dar es Salaam. Wadau mbalimbali wakijadiliana wakati wa kikao cha wafanyabiashara na asasi zinazosimamia usambazaji na uuzaji wa kazi za filamu na muziki jana jijini Dar es Salaam.
Na Genofeva Matemu – Afisa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yaitaka Spencon kumaliza kazi ya usambazaji umeme vijijini kwa muda sahihi

IMG_1883

Msafara wa Naibu Waziri Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani ukikagua ujenzi wa kituo kipya cha mjini Singida cha kutawanya umeme kilovoti 400 wa gridi kutoka nchini Kenya na Tanzania. Kituo hicho kitasambaza umeme kutoka Singida kwenda mkoa wa Iringa na Shinyanga.

IMG_1910

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (wa kwanza kushoto mwenye miwani) akizungumza na maafisa kutoka ofisi na madini kanda ya kati  mkoa wa Singida na wa wilaya ya Manyoni, kwenye ofisi ya Mkuu wa wa wilaya...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA

Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 leo jijini Dar es salaam. Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (kulia) akimkabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servicius Likwelile chapisho la lenye Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 wakati wa uzinduzi wa usambazaji wa takwimu hizo leo jijini Dar es salaam.
BOFYA HAPA KWA HABARI NA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani