NISHA: NDOA HAITANIFANYA NIACHE FILAMU!

Stori: Laurent Samatta WAKATI baadhi ya wasanii wakipewa masharti kuacha kuigiza pindi wanapoolewa, nyota wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’, amedai hata kama akiamua kuolewa na kuishi na mwanaume kamwe hawezi kuachana na tasnia hiyo kwani ndiyo iliyomfanya aishi maisha mazuri mjini. Nyota wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’. Nisha alizungumza na paparazi wetu juzikati na kudai kuwa wanawake wengi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
ODAMA: NDOA HAITANIFANYA NIACHE FILAMU
10 years ago
Bongo Movies08 Jan
Odama:Ndoa Haitanifanya Niache Filamu
Mwigizaji wa filamu za Kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’, amedai kuwa mwanaume ambaye anaweza kumuoa jambo la kwanza lazima atambue kuwa yeye anafanya filamu kwa muda mrefu hivyo hawezi kuacha kazi yake kwa sababu ya kuingia kwenye ndoa.
Odama alifungua kinywa chake baada ya kuzungumza na paparazzi wa GPL, ambapo alidai kuwa haiwezi kutokea kuacha kufanya filamu ili amridhishe mwanaume kwani maisha yake yamekuwa yakiendeshwa na kazi hiyo kwa muda mrefu.
“Naamini kuwa yule ambaye atakuja kwa...
10 years ago
GPLMTITU ASHANGAA NISHA, JB KUKUBALI FILAMU ZA BUKU
10 years ago
Bongo Movies04 Mar
Nisha: Mimi ni Msanii Wa Filamu,Ila Napenda Muziki
Mwigizaji wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema japo kuwa anafanya sanaa ya uigizaji ila anapenda sana kuwa mwanamuziki.
Nisha aliyasema hayo hivi majuzi alipokuwa kwenye studio za THT pamoja na mastaa wengine wakirekoni wimbo maalumu wa maombolezo ya msiba wa marehemu Captain John Komba.
Kila la kheri Nisha kama kweli unakipaji,...nitafurahi kama ukija kivingine, uwe tofauti na kina shilole na H mama.
Mzee wa Ubuyu
10 years ago
Bongo Movies12 May
Nisha Awapasha Watayarishaji wa filamu na Mastaa wa Bongo Movies, Yeye Aonyesha Njia
Hili naomba niwaulize ma- producers, mastaaa wengine,na mashabiki wote.. hivi mnajua kuna vipaji sana nje ya wanaojiita mastaa ila bado hawajapata nafasi??
Hivi ni kubaniwa ama nini hadi wengine hawaonekani? Kama sisi tungebaniwa tungetoka? Hebu tuacheni maringo na kusaidia wenye uhitaji .
Mnayemuona juu hapo (Pichani) anaitwa Jenifer Temu picha tu jinsi alivyovaa uhusika inajieleza ni kwa jinsi gani amevaa uhusika kwenye filamu ya Mtaa kwa Mtaa, si huyo tu wapo wengi katika wale 50...
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Kikao Kuhusu Bei ya Filamu cha Hairishwa..Nisha Aweka Wazi Masimamo Wake!!!
Kikao kilichopangwa kifanyike leo, kimehairishwa ghafla, huku tayari wadau na wsanii wakiwa tayari wapo ukumbini. Kikao hicho kilikuwa kifanyike chini ya wizara tatu ambazo ni Wizara ya Vijana Utamaduni na Michezo,Wizara ya Viwanda na Biashara na Wizara ya fedha kuhusuana na bei za filamu za hapa nchini.
Akielezea kile kilichojiri, mwigizaji Salma Jabu “Nisha”amabe alikuwa ni moja kati ya waigizaji walio hudhuria kikao hicho, alisema
“Kikao hakikufanyika, kimehairishwa.umeona wapi mtu...
10 years ago
Bongo528 Feb
PAPASO: Sidhani kama wasanii wote wa filamu hawajatulia, mimi nimetulia — Salma Jabu (Nisha)
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.