Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Odama:Ndoa Haitanifanya Niache Filamu

Mwigizaji wa  filamu za Kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’, amedai kuwa mwanaume ambaye anaweza kumuoa jambo la kwanza lazima atambue kuwa yeye anafanya filamu kwa muda mrefu hivyo hawezi kuacha kazi yake kwa sababu ya kuingia kwenye ndoa.

Odama alifungua kinywa chake baada ya kuzungumza na paparazzi wa GPL, ambapo alidai kuwa haiwezi kutokea kuacha kufanya filamu ili amridhishe mwanaume kwani maisha yake yamekuwa yakiendeshwa na kazi hiyo kwa muda mrefu.

“Naamini kuwa yule ambaye atakuja kwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ODAMA: NDOA HAITANIFANYA NIACHE FILAMU

Na Laurent Samatta
MCHEZA filamu za Kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’, amedai kuwa mwanaume ambaye anaweza kumuoa jambo la kwanza lazima atambue kuwa yeye anafanya filamu kwa muda mrefu hivyo hawezi kuacha kazi yake kwa sababu ya kuingia kwenye ndoa. Mcheza filamu za Kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’. Odama alifungua kinywa chake baada ya kuzungumza na paparazi wetu,… ...

 

10 years ago

GPL

NISHA: NDOA HAITANIFANYA NIACHE FILAMU!

Stori: Laurent Samatta
WAKATI baadhi ya wasanii wakipewa masharti kuacha kuigiza pindi wanapoolewa, nyota wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’, amedai hata kama akiamua kuolewa na kuishi na mwanaume kamwe hawezi kuachana na tasnia hiyo kwani ndiyo iliyomfanya aishi maisha mazuri mjini. Nyota wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’. Nisha alizungumza na paparazi wetu juzikati na kudai kuwa wanawake wengi...

 

11 years ago

GPL

ODAMA ATAJA SABABU KUZAA NJE YA NDOA

Stori: Gladness Mallya MKALI wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ amesema sababu kubwa iliyomfanya azae nje ya ndoa ni maandalizi mazuri aliyojipangia. Mkali wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’. Odama ambaye amejifungua hivi karibuni, alisema aliamua kuzaa kwanza kisha ndoa ifuate hivyo hajutii uamuzi wake. “Nimezaa kwa sababu nilijipanga, kuhusu kuolewa ni majaaliwa awe ni...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.

Lorietha Laurence -Maelezo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo  ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa  kwa kupata kibali cha kuingia sokoni  kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza  katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza  kampuni ya Al-Riyamy Production  ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za  TRA...

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.

Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo akiongea na wahusijka wa Kampuni ya Kajala Entertainment wakati alipofanya nao mkutano leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapa Sheria na Kanuni zilizokiukwa katika filamu ya Mbwa Mwitu.Mkurugenzi wa Kampuni ya Kajala Entertainment, Kajala Masanja akijitetea mbele ya Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania wakati aliitikia wito wa Ofisi ya Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuelezwa juu ya Sheria na Kanuni zilizokiukwa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI

 Mwenyekiti wa kikosi kazi kutoka chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania,Bw Moses Mwanyilu akionyesha baadhi ya filamu ambazo zinauzwa nchini bila kupata kibali kutoka bodi ya filamu Tanzania na kutokuwa na stika za ushuru za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakielezea changamoto zao kuhusiana na filamu za kitanzania kulazimishwa kukaguliwa na bodi ya filamu na kuwekwa stika za TRA ilhali filamu za nje hazifanyiwi hivyo na kupelekea filamu za...

 

11 years ago

Mwananchi

Nimemaliza kazi, niache nipumzike - Mandela

Mandela alifanya mengi na kusema mengi. Hata hivyo kuna kauli yake moja ambayo inaweza kuchukuliwa kama alikuwa anaiaga dunia

 

10 years ago

Mwananchi

Marwa: Ngumi zilinifanya niache kazi jeshini

Ukizungumzia wanamasumbwi wa miaka ya 1990 huwezi kuacha kumtaja bingwa wa zamani wa mabara wa mkanda wa IBF, Joseph Marwa Kimonge 'Hungry Lion

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani