Nisha:Nina Kazi Kubwa Kulinda Heshima Yangu
Staa wa Bongo Movies , Salma Jabu ‘Nisha’ amedai kuwa ana kazi kubwa katika kulinda nafasi yake ya uigizaji bora wa Komedi na ustadi katika kutengeneza kazi zake na ziendelee kuwa bora ili asipotee na kuonekana kama alibahatisha.
Wahenga husema kuwa ni rahisi kupata nafasi ya kwanza, lakini si rahisi kuilinda hivyo name lazima niilinde nafasi yangu niliyoipata mwaka jana baada ya kuipigania kwa muda mrefu katika tasnia ya filamu na nitailinda kwa kufanya kazi bora tu,”anasema Nisha.
Msanii...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies27 Nov
Nina Kazi Kubwa Kulinda Heshima Yangu- Nisha
MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu na Komedi Salma Jabu ‘Nisha’ amedai kuwa ana kazi kubwa katika kulinda nafasi yake ya uigizaji bora wa Komedi na ustadi katika kutengeneza kazi zake na ziendelee kuwa bora ili asipotee na kuonekana kama alibahatisha.
“Wahenga husema kuwa ni rahisi kupata nafasi ya kwanza, lakini si rahisi kuilinda hivyo name lazima niilinde nafasi yangu niliyoipata mwaka jana baada ya kuipigania kwa muda mrefu katika tasnia ya filamu na nitailinda kwa kufanya kazi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp20yuC9-AHiIbAzNOh5Kx6SasA*LUMNoc*zFos2I-sZGppWlORJBiU32eLztQoOW-V*Z08WvdO0Mo7y-1ADsn*i3/nisha.jpg)
NISHA: MH! ETI NINA MIMBA, WATU BWANA
10 years ago
Bongo Movies02 Jun
Picha: Nimeamka Nimejikuta Nina Mabadiliko Mwilini-Nisha
Staa wa bongo Movies mwenye visa na vituko vyakufurahisha, Salma Jabu ‘Nisha’ amabaye kwa sasa anatamba sokoni na MTAA kwa MTAA amewaaacha hoi mashabiki wake baada yakutupia picha hii mtandaoni na kuandika “Nimeamka nimejikuta nna mabadiliko mwilini”.
Picha hii imekuwa ikisambaa kwa kasi zaidi mtandaoni huku kila mtu akiichombeza kwa maneno yake ukizingatia siku za hivi karibuni kuna baadhi ya mastaa wa kiume wa hapa Bongo wamekuwa wakipiga picha za namna hiyo na kuzua ‘stories’...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Whapl-f-NAZCpa6IVGQcmsVYmHYfEUAv2GaUUGOTcT-9x2IY4-F9Tdf*16pz3Fasmvu05VkwDueDVia6tO4PiEKpvjy7VpWy/nisha.jpg)
NISHA: NIACHENI NA MAMA YANGU
10 years ago
Dewji Blog14 Oct
Nina ndoto yangu kuzinduliwa Dar
Ephraim Mwansasu.
Na Mwandishi wetu
MWIMBAJI wa nyimbo za kiroho Mchungaji Kiongozi wa Huduma ya Hossana Life Mission, Ephraim Mwansasu, anatarajia kuzindua albam yake ya tano inayojulikana kwa jina la ‘Nina Ndoto Yangu.’
Akizungumza jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, kiongozi huyo alisema ujumbe uliyomo katika wimbo huo ni kwa ajili ya makundi yote bila kubagua madhehebu.
Mchungaji Mwansasu, alisema uzinduzi huo anatarajia kufanya Novemba mbili mwaka huu, ambapo albamu hiyo itakuwa na...
11 years ago
GPL23 Jul
NINA MATUMANINI NA NCHI YANGU - ALLY KIBA
10 years ago
Mwananchi09 Aug
MAULID KITENGE : Simuigi tena Liongo, nina maisha yangu
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Odama: Hakuna wa kuniondolea heshima yangu
Staa wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’.
Imelda mtema
Staa wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amesema kuwa tangu alipoingia katika usanii kitu kikubwa alichokuwa akikilinda ni heshima yake na si kitu kingine hivyo anayejaribu kuishusha afanye kazi ya ziada.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Odama alisema kuwa tangu ameanza kuwa msanii alijitahidi sana kuilinda heshima yake ndiyo maana watu wengi wanapenda kumjua baba wa mtoto wake lakini imekuwa vigumu.
“Watu wengi wanapenda...
9 years ago
Mwananchi06 Nov
Dk Magufuli: Nina deni kubwa kwa Watanzania