Nisher: Video ya ’13’ ni tofauti, nimetumia sound effects zaidi ya 87
Muongozaji wa video za muziki, Nisher amesema video ya wimbo wa Young Killer ’13’ aliyomshirikish Fid Q ni video tofauti kuliko zote alizowahi kufanya. Nisher ambaye ni mshindi wa tuzo muongozaji wa video zinazopendwa katika Tuzo za Watu, ameandika kwenye Facebook: Utakapo Kua-unaitazama video hii Hakikisha unavitu vifuatavyo…Uwe na Speakers nzuri Zinazoweza kutafsiri Bass vizuri […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo507 Mar
AY kushoot video ya ‘Zigo’ Zanzibar na director Nisher
10 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/1197/production/_84330540_84329667.jpg)
VIDEO: Researchers study Ebola side effects
9 years ago
Bongo507 Jan
Video: Sound Sultan Ft Olamide – Monsura
![Sound-Sultan-ft-olamide](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Sound-Sultan-ft-olamide-300x194.jpg)
Video mpya ya msanii Sound Sultan amemshirikisha Olamide wimbo unaitwa “Monsura”, Video imetayarishwa na Capital hil.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo531 Jan
New Video: Davido ft Uhuru + Dj Buckz- The Sound
9 years ago
Bongo521 Dec
Nisher anena haya kuhusiana na waongozaji wa video wa Bongo
![Nisher tuzo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Nisher-tuzo-300x194.jpg)
Mshindi wa tuzo ya muongozaji wa video anayependwa katika Tuzo za Watu mwaka 2014, Nisher ametoa tathimini yake kuhusu hatua walizopiga waongozaji wa video wa ndani wakati yeye akiwa katika mapumziko.
Nisher amepongeza waongozaji wachanga kwa kudai ndio wamefanya kazi kubwa.
“Nawamwagia sifa nyingi sana madirector wachanga wote wa kwanza akiwa Khalfan akifuatiwa na Joowzey kwa ajili ya kazi kali mwaka huu,” Nisher ameiambia Bongo5.
“Nafurahi kuona watu wanaendeleza harakati zangu!. Hii...
10 years ago
Bongo528 Oct
Ben Pol azungumzia ndoa na video mpya na Nisher
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/soundcity-banned-psquare-life.jpg)
VIDEO ZA PSQUARE ZAPIGWA MARUFUKU SOUND CITY TV
10 years ago
Dewji Blog01 Feb
10 years ago
Bongo516 Sep
Nisher ataja pesa aliyolipwa kama director kwenye video ya kwanza kutengeneza