Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nisher ataja pesa aliyolipwa kama director kwenye video ya kwanza kutengeneza

Kila kitu kikubwa huanzia kwenye hatua ya chini, kama ni msanii basi lazima utakuta wakati anaanza alifanya show nyingi za bure, kama ni producer wa muziki basi utakuta ametenegezea wasanii wengi mastaa nyimbo bure ili ajitangaze. Safari ya director wa video Nisher kutoka Arusha pia ilianzia katika hatua za kufanya video bure hadi sasa amefikia […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

AY kushoot video ya ‘Zigo’ Zanzibar na director Nisher

AY ni miongoni mwa wasanii ambao wamekuwa wakifanya video zao nyingi nje ya Tanzania na madirector wa nje, lakini mwaka huu ameamua kufanya video ya single yake mpya hapa hapa nyumbani na director wa hapa. Ambwene Yessaya a.k.a AY amesema kuwa video ya wimbo wake mpya ‘Zigo’ itafanyika Zanzibar, na itaongozwa na director Nisher. Akizungumza […]

 

11 years ago

GPL

VIDEO: JINSI YA KUTENGENEZA JUISI YA MAJANI YA PAPAI KAMA DAWA YA DENGUE!

In this video I am showing how to prepare papaya leaf juice using a stone slab/roller which helps in increasing platelet for dengue patient. This video is in continuation with my earlier video at http://www.youtube.com/watch?v=7yZgSZ.... As all of us know that there is no medicines for dengue & no specific treatment. Treatment are given only after observing the patient. In most of the dengue patient it is seen that the platelet...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Muddy Kibirity – Pesa Kwanza Mapenzi Badae

Screen-Shot-2015-11-30-at-9.03.55-PM

Angalia hapa video mpya ya msanii Muddy Kibirity wimbo unaitwa “Pesa Kwanza Mapenzi Badae”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Exclusive: Director Nisher afunguka mengi kuhusu ukimya wake na changamoto alizopata mwaka huu

Nisher7

Mshindi wa tuzo ya Muongozaji Wa Video Anayependwa katika Tuzo Za Watu 2014, director Nisher amefunguka kwa kirefu mambo mbalimbali kuhusu ukimya wake.

nisher intro

Muongozaji huyo wa video za muziki kutoka Arusha aliyekuja kwa kasi na kuwa gumzo kutokana na video kali alizotoa kuleta ushindani, amepiga story na Bongo5 na kuzungumzia mambo yaliyosababisha ukimya wake pamoja na changamoto alizokutana nazo mwaka huu.

2014 ni mwaka ambao ulifanya vizuri sana ikiwa ni pamoja na kushinda Tuzo Za Watu, na...

 

9 years ago

MillardAyo

Trey Songz anaisogeza ya kwanza kwa mwaka 2016 kwenye video: ‘Blessed’ – (Video).

Baada ya kusiogeza kwetu mixtape yake mpya ‘To Whom It May Concern’ December 2015, staa wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz anaisogeza kwetu official music video ya ‘Blessed’ moja ya ngoma zinazopatikana kwenye mixtape  hiyo ya December 2015. Kwa sasa Trey Songz yupo studio akiwa anakamilisha muendelezo wa album yake ya mwaka 2014; […]

The post Trey Songz anaisogeza ya kwanza kwa mwaka 2016 kwenye video: ‘Blessed’ – (Video). appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

Forbes 2015: Dewji amtoa Rostam Aziz kwenye nafasi ya kwanza kama mtu tajiri zaidi Tanzania!

Mohammed Dewji ndiye mtu tajiri zaidi nchini Tanzania, kwa mujibu wa orodha ya mwaka 2015 ya mtandao wa Forbes wa mabilionea 32 barani Afrika. Awali ni Rostam Aziz ndiye aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Forbes, Dewji mwenye umri wa miaka 39 ana utajiri wa dola bilioni 1.3. Utajiri huo unamfanya mfanyabiashara huyo ambaye […]

 

10 years ago

Bongo5

Mabeste amtumia Lisa (mama wa mwanaye) kama video model kwenye video yake mpya ‘Usiwe Bubu’

Rapper Mabeste anatarajia kuachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Usiwe Bubu’ Ijumaa hii ya Oct.2, wimbo ambao audio yake ilitoka mwezi January mwaka huu, . Kwenye video hiyo safari hii Mabeste ameamua kumtumia girlfriend wake ambaye pia ni mama wa mwanaye aitwaye Lisa kama video model. “Amekuwa video queen kwasababu nimeona ana vigezo vya […]

 

9 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah kuachia wimbo mpya mwezi ujao, pia aeleza sababu za kumtumia director Pablo kwenye video nyingi

Kala

Baada ya kipindi cha kampeni kupita Kala Jeremiah pia yuko kwenye foleni ya wasanii wanaotaka kutoa kazi mpya za kufungua mwaka.

Kala

Kala ameiambia Bongo5 kuwa tayari video ya kazi mpya imekamilika na anatarajia kuitoa hivi karibuni.

“Video ya wimbo mpya na nimeshoot na PABLO ila nisingependa kwanza kutaja jina la wimbo, lakini mwezi wa 12 lazima itoke”.

Video nne zilizopita za Kala (Nchi ya Ahadi, Usikate Tamaa, Simu Ya Mwisho, Wale Wale) zote zimeongozwa na Pablo, kuhusu kwanini ameamua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani