Nisher anena haya kuhusiana na waongozaji wa video wa Bongo
Mshindi wa tuzo ya muongozaji wa video anayependwa katika Tuzo za Watu mwaka 2014, Nisher ametoa tathimini yake kuhusu hatua walizopiga waongozaji wa video wa ndani wakati yeye akiwa katika mapumziko.
Nisher amepongeza waongozaji wachanga kwa kudai ndio wamefanya kazi kubwa.
“Nawamwagia sifa nyingi sana madirector wachanga wote wa kwanza akiwa Khalfan akifuatiwa na Joowzey kwa ajili ya kazi kali mwaka huu,” Nisher ameiambia Bongo5.
“Nafurahi kuona watu wanaendeleza harakati zangu!. Hii...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Oct
Video: Belle 9 adai waongozaji wa Bongo na location nzuri za nyumbani zinamshawishi kutofikiria kwenda kufanya video nje
![_K0A1374](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/K0A1374-94x94.jpg)
5 years ago
Bongo514 Feb
Hanscana alia na copy & paste za waongozaji wa video za Bongo
Hanscana ambaye ni mmoja kati ya waongozaji wa video za muziki nchini ambao wanafanya vizuri, amelaani kitendo cha baadhi ya waongozaji wa video ambao wana-copy idea za nje na kuzileta ndani.
Hanscana akiwa na Eddy Kenzo
Muongozaji huyo amedai kutegemea kukopi vitu vya kutoka nje ya Bongo kama vile nchi za Afrika kusini ni kuua ajira za watu wengi wa Afrika Mashariki.
Hascana kupitia ukurasa wake Instagram amefungukia hayo akiwa ameweka picha yake na msanii Eddy Kenzo kutoka Uganda na kudai...
9 years ago
Bongo525 Nov
Joh Makini awashauri waongozaji wa video wa Bongo kujituma zaidi
![joh makini](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/04/joh-makini-300x194.jpg)
Hitmaker wa Don’t Bother, Joh Makini amewataka waongozaji wa video wa ndani kujitahidi ili waende sambamba na waongozaji wa nje wanaofanya vizuri kwa sasa.
Joh Makini amekiambia kipindi cha Planet Bongo kinachoruka kupitia EATV kuwa, Tanzania imefika sehemu nzuri lakini waongozaji wanatakiwa kuongeza zaidi juhudi.
“Ni lazima tuhakikishe tunafika kwenye level ambayo tutakubalika dunia nzima,” alisema Joh.
“Mimi naamini tunaweza na tayari wameshaonesha njia kwa kufanya vizuri. Kikubwa ni...
11 years ago
Bongo529 Jul
Ongezeko la wasanii kushoot video kutumia waongozaji wa nje; Tobo linalovuja kwenye muziki wa Bongo
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Godzilla awafagilia waongozaji video
MSANII wa muziki wa kizazi kipya katika miondoko ya hip hop nchini, Tzee Godzilla, amesema bado ana imani kuwa waongozaji video wa Tanzania wana uwezo wa kufanya kazi nzuri, ingawa...
10 years ago
Bongo507 Mar
AY kushoot video ya ‘Zigo’ Zanzibar na director Nisher
10 years ago
Bongo528 Oct
Ben Pol azungumzia ndoa na video mpya na Nisher
10 years ago
Bongo501 Nov
Nisher: Video ya ’13’ ni tofauti, nimetumia sound effects zaidi ya 87