Ongezeko la wasanii kushoot video kutumia waongozaji wa nje; Tobo linalovuja kwenye muziki wa Bongo
Wiki za hivi karibuni kumekuwepo na mjadala mrefu kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na wimbi la wasanii wa Tanzania kwenda kushoot video zao Kenya au Afrika Kusini au wengine kuwaleta waongozaji wa Kenya hususan Ogopa Videos, Enos Olik au Kevin Bosco Jr. Waongozaji wa video, Nisher na Adam Juma Ukweli ni kwamba hilo sio jambo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Oct
Video: Belle 9 adai waongozaji wa Bongo na location nzuri za nyumbani zinamshawishi kutofikiria kwenda kufanya video nje
![_K0A1374](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/K0A1374-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo514 Nov
Ommy Dimpoz atoa sababu za wasanii wa Tanzania kutumia models wa nje kwenye video zao
![Ommy na model wa ndagushima](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ommy-na-model-wa-ndagushima-300x194.jpg)
Ommy Dimpoz ni kati ya wasanii wa Bongo ambao wameshoot video zao kadhaa nje ya Tanzania kwa kutumia waongozaji pamoja na video models wa nje.
Ommy Dimpoz na model wa ‘Ndagushima’ Sofia Skvortsova
Wengi wanaamini upo uwezekano wa wasanii kuamua kusafiri na models kutoka nyumbani kama ambavyo husafiri na dancers wao kwenda kushoot video nje, lakini Ommy Dimpoz ana sababu za kwanini hushindwa kufanya hivyo.
“Mara nyingi models wa nje wako proffesional wanaweza kucheza character zote ambazo...
9 years ago
Bongo521 Sep
Wasanii wa Tz wanapoenda kushoot video na directors wa nje hainiathiri ila inanijengea njia nzuri — Hanscana
9 years ago
Bongo521 Dec
Nisher anena haya kuhusiana na waongozaji wa video wa Bongo
![Nisher tuzo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Nisher-tuzo-300x194.jpg)
Mshindi wa tuzo ya muongozaji wa video anayependwa katika Tuzo za Watu mwaka 2014, Nisher ametoa tathimini yake kuhusu hatua walizopiga waongozaji wa video wa ndani wakati yeye akiwa katika mapumziko.
Nisher amepongeza waongozaji wachanga kwa kudai ndio wamefanya kazi kubwa.
“Nawamwagia sifa nyingi sana madirector wachanga wote wa kwanza akiwa Khalfan akifuatiwa na Joowzey kwa ajili ya kazi kali mwaka huu,” Nisher ameiambia Bongo5.
“Nafurahi kuona watu wanaendeleza harakati zangu!. Hii...
5 years ago
Bongo514 Feb
Hanscana alia na copy & paste za waongozaji wa video za Bongo
Hanscana ambaye ni mmoja kati ya waongozaji wa video za muziki nchini ambao wanafanya vizuri, amelaani kitendo cha baadhi ya waongozaji wa video ambao wana-copy idea za nje na kuzileta ndani.
Hanscana akiwa na Eddy Kenzo
Muongozaji huyo amedai kutegemea kukopi vitu vya kutoka nje ya Bongo kama vile nchi za Afrika kusini ni kuua ajira za watu wengi wa Afrika Mashariki.
Hascana kupitia ukurasa wake Instagram amefungukia hayo akiwa ameweka picha yake na msanii Eddy Kenzo kutoka Uganda na kudai...
9 years ago
Bongo525 Nov
Joh Makini awashauri waongozaji wa video wa Bongo kujituma zaidi
![joh makini](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/04/joh-makini-300x194.jpg)
Hitmaker wa Don’t Bother, Joh Makini amewataka waongozaji wa video wa ndani kujitahidi ili waende sambamba na waongozaji wa nje wanaofanya vizuri kwa sasa.
Joh Makini amekiambia kipindi cha Planet Bongo kinachoruka kupitia EATV kuwa, Tanzania imefika sehemu nzuri lakini waongozaji wanatakiwa kuongeza zaidi juhudi.
“Ni lazima tuhakikishe tunafika kwenye level ambayo tutakubalika dunia nzima,” alisema Joh.
“Mimi naamini tunaweza na tayari wameshaonesha njia kwa kufanya vizuri. Kikubwa ni...
10 years ago
Bongo504 Nov
Fid Q kwenda kushoot video mpya nje ya nchi, atoa sababu za kwanini alikuwa hafanyi video
9 years ago
Bongo520 Nov
Director Enos Olik wa Kenya azungumzia kuhusu wasanii kushoot video SA, na baadhi ya video kutoka EA kutochezwa Trace na MTV Base
![enos4](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/enos4-300x194.jpg)
Enos Olik ni muongozaji na mtayarishaji wa video za muziki kutoka Kenya, ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Afrika kuanzia A-list hadi wale wa kawaida.
Shaa, Young Dee, Alikiba na Christian Bella ni baadhi ya wasanii wa Bongo ambao wameshampa ulaji director huyo kufanya video zao. Video zingine alizofanya ni ‘Kioo’ ya Jaguar, ‘Sura Yako remix’ ya Sauti Sol na Iyanya, ‘Never Been Loved’ ya Maurice Kirya, ‘Touch Me There’ ya Redsan ft. Nyla na zingine kadhaa wa kadhaa.
Bongo5...
9 years ago
Bongo503 Nov
Dully Sykes azitaja nyimbo alizopanga kushoot video nje
![Dully](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Dully-300x194.jpg)
Dully Sykes anafikiria kuanza kufanya video nje ya nchi.
Mwimbaji huyo mkongwe wa Bongo Fleva ambaye hajawahi kushoot video yoyote nje ya nchi, amesema kwa sasa analifikiria suala hilo kwa nyimbo ambazo amewashirikisha wasanii wa hapa nyumbani wakiwemo ambao tayari wameanza kujitangaza kimataifa.
“Nina nyimbo na wasanii kama Vanessa Mdee, Diamond Platnumz, Christian Bella na Mzee Yusuph. Sifikirii hizi kama nitafanya hapa Tanzania, naweza kutoka, ” alisema Dully kupitia 255 ya XXL.
Dully...