Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nitatumikia taifa, wananchi — Masaju

Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, Ikulu Dar es Salaam jana. (Na Mpigapicha Wetu).RAIS Jakaya Kikwete amemwapisha George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), huku mwanasheria huyo akiahidi uadilifu katika utumishi wake kwa wananchi na taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA CHADEMA AWAHUTUBIA WANANCHI

WILLIAM MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi akiongozana na Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPImakamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPI akiwahutubia wananchi katika jimbo la Mufindi Kasikazini.WILLIAM MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi akiwahutubia wananchi wa jimbo la mufindi kusini ambako anatarajia kugombea ubunge kupitia chadema.
Wananchi wa wilaya ya mufindi mkoani Iringa wamelalamikia ugumu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hakuna taifa linaloendelea bila wananchi kulipa kodi

“IMEKUWA hulka kwa wafanyabiashara kuona sifa kukwepa kulipa kodi na hali inakuwa mbaya zaidi pale wananchi watakapokosa uzalendo katika suala zima la ulipaji kodi.” Hiyo ni kauli ya Meneja Msaidizi...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA YAENDELEA NA JUHUDI ZA KUWAINUA WANANCHI.

 Meneja Biashara kutoka shirika la Mzinga Morogoro Pingu Kamenyi akiwaeleza wandishi wa habari leo jijini Dar es salaam (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya Shirika hilo katika kipindi cha Miaka kumi ya Serikali ya awamu ya nne ikiwemo uzalishaji wa zana bora  za kilimo na ujenzi zinazolenga kuwainua wajasiriamali wadogo ili waweze kuinua uchumi wao na wa taifa kwa ujumla.  Wa pili kushoto ni Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Luteni Kanali Juma Nkangaa Sipe na wa kwanza...

 

11 years ago

GPL

POSHO KWA WAWAKILISHI WA WANANCHI NI KIKWAZO CHA MAENDELEO YA TAIFA‏

Na.Mhariri wa Moblog Ingawaje Tanzania inaitwa nchi masikini pamoja na kwamba wahisani na wadau wa maendeleo wanasema ni nchi inayoendelea lakini kwa ujumla na kwa yeyote anayeijua nchi yetu kwa maana ya hali ya maisha ya wananchi wake, ni jambo la hatari kwa kikundi kidogo cha watu waliokalia ofisi za umma na kujipangia utaratibu fulani wa kujinufaisha. Kikundi hiki kidogo tena kilichochaguliwa na wananchi kama wawakilishi wao...

 

10 years ago

IPPmedia

Masaju sworn in as AG


IPPmedia
Masaju sworn in as AG
IPPmedia
President Jakaya Kikwete swears in George Mcheche Masaju as Attorney General at State House in Dar es Salaam yesterday. The newly appointed Attorney General, George Mcheche Masaju was yesterday sworn in to succeed Fredrick Werema who ...
AG asks for time to study contractsDaily News
Kikwete appoints new attorney general, TANESCO chairpersonSabahi Online
Masaju is the newly appointed Attorney Generalspyghana.com
AllAfrica.com
all 8

 

10 years ago

Vijimambo

BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI LACHOCHEA UBORA WA UTENGENEZAJI SAMANI NCHINI


KAMPUNI ya Furniture Centre (FCDL), na Shirikisho la Watengenezaji Samani Nchini (TAWOFE), wamesaini makubaliano (MoU) kuongeza ubora wa bidhaa za samani zinazotengenezwa nchini na kuzifanya zipate soko ndani na nje ya nchi.Makubaliano haya yamekamilika ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ikiwa ni mwendelezo wa Tathimini iliyofanywa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwa mkoa wa Dar es Salaam na mikoa ya jirani, katika kuiwezesha...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yakiri ukuaji wake wa uchumi wa taifa hauendani na hali halisi ya wananchi

Serikali imesema Uchumi wa Taifa umekuwa kwa asilimia saba kwa kipindi kilichopita ila kutokana na sera ya kuwekeza kwenye vitu visivyohusisha wananchi moja kwa moja kumepelekea ukuaji huo kutooneka wazi.

Kutokana na mchango wa pato la Taifa kwa Watanzania ambalo ni asilimia 70 waliopo vijijini na mashambani imebainika kuwa na mchango mdogo.

Katika maadhimisho ya  siku ya Takwimu Afrika, kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha , Naibu katibu Mkuu Professa Aldof Mkenda amesema, kwa...

 

11 years ago

GPL

NIGHT OF HOPE 2014: WANANCHI WAKIMIMINIKA NDANI YA UWANJA WA TAIFA MUDA HUU

Wananchi mbalimbali wakiingia katika Uwanja wa Taifa jijini Dar kwa ajili ya Tamasha kubwa la Usiku wa Matumaini 2014 linaloendelea kwa sasa.

 

5 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

* Snura, Juma Nature watoa ujumbe kwa wakazi wa Dar, Pwani
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamiiTUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imesema imeridhishwa na muamko wa wananchi katika mikoa yote ambao wameuonesha kwenye uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Kwa mujibu wa NEC Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani walikuwa wamepewa fursa hiyo ya kujiandikisha kuanzia Februari 14 hadi Februari 20 mwaka huu ambapo wananchi wengi wa mikoa hiyo wamejitokeza huku wale ambao bado hawajiandikisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani