Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nitumie Njia Gani Ili Nipungue-Natasha

Staa wa Bongo Movies, Susan Lewis ‘Natasha’ ameeleza jitihada zake za kujaribu kupunguza unene kwa takribani miezi sita lakini hajapungua, kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram aliandika haya;

Jamani naomba msaada wa kupunguza unene nimeacha kila chakula vya mafuta yapata miezi 6, nimepunguza kunywa soda labda kwa mwezi mara mbili tena ikibidi.mimi ni mpenzi wa chocolate lakini nimepunguza sana ulaji wa vitu vya sukari na kuunywa maji mengi. Lakini mwili unazidi kuongezeka sasa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NATASHA SHAYROSE WIMBO WAKE MWINGINE HUU HAPA JIPAKULIE NATASHA MTANZANIA YUPO NORWAY


http://www.soundcloud.com/natashashyrosehttp://www.myspace.com/blackrose52http://www.oddisbold.comhttp://natasha-shyrose.blogspot.no. Ukitaka kujua zaidi kuhusu na Natasha tembelea kwenye hizo link na utakudundua kipaji chake siyo cha kubahatisha.

 

5 years ago

Michuzi

Tufanye mambo gani ili tuweze kunufaika na maendeleo ya kiteknolojia?

NCHINI Tanzania, kama ilivyo katika maeneo mengine duniani teknolojia imeleta maendeleo na mabadiliko makubwa kwenye jamii. 
Hakuna shaka yoyote kwamba teknolojia imebadili namna na kasi ya mawasiliano yetu ambayo yamepitia hatua mbalimbali kuanzia barua posta, simu za mezani na sasa kidijitali. 
Katika miezi ya karibuni gonjwa la Corona limewavuta watu wengi zaidi kutumia mbinu za kidijitali si tu kuwasiliana bali hata kwenye kufanya malipo na kupata burudani.
Tukitazama mbele yapo mambo...

 

10 years ago

Mwananchi

Njia rahisi ya kutumia taka za mazao ili kuzalisha uyoga

Watanzania wanaweza kujiongezea kipato kwa kujiingiza katika kilimo cha uyoga, ambacho hakihitaji teknolojia ya juu ili kukifanikisha.

 

10 years ago

Bongo5

Je umeweza kuchunguza njia ya kufanya na kwenda ili uwe Mjasiriamali?

Una wazo zuri au kubwa la biashara, lakini huo ni mwanzo tu. Kuna habari za mtaani nyingi sana ukiona hivyo inawezekana ukafikiri kuwa utakuwa mtu uliyefanikiwa muda si mrefu sana. Hebu fikiria kwenye mpango wako na ujaribu kuangalia soko na maisha yako binafsi. Utahitajika kujua je mteja wako ni nani na uweze kuweka hiyo biashara […]

 

11 years ago

Michuzi

elimu kwa umma juu ya njia bora za kuhudumia majokofu na viyoyozi ili kulinda tabaka la Ozoni.

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Angelina Madete akitoa hotuba ya ufunguzi wa warsha ya Mafunzo ya wakufunzi kutoka Vyuo vya Ufundi Nchini katika Hotel ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Angelina Madete (Katikati) na Mkurugenzi wa mazingira Dkt. Julius Ningu (Kulia) wakimsilikiza Bw. Julio Esterban Mshauri Mwelekezi kutoka UNIDO akitoa ufananuzi kwa wakufunzi kutoka Vyuo vya ufundi nchini.  Sehemu ya washiriki wa warsha...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAOMBWA KUTAFUTA NJIA MBADALA KUVIFIKIA VIJIJI VISIVYOFIKIKA ILI KUVIPATIA ELIMU JUU YA COVID-19




Mchungaji David Chikawe Katibu wa Kanisa la Mission to Unreaches Area nchini (MUAC)   Na.Vero Ignatus,Kibaha Pwani
Serikali imeombwa kuhakikisha kwamba inatafutanjia mbadala ,kwaajili ya kuwafikia wananchi waliopo maeneo ambayo hayafikikikiurahisi, kwaajili ya kuwapatia elimu ya kuepukana maambukizi ya homa kali yamapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19

Hayo yamesemwa na Mchungaji David Chikawe Katibu wa Kanisa la Mission to Unreaches Area nchini (MUAC),lililopo Kibaha mkoa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA JESHI LA POLISI NCHINI KUFUATIA UPOTOSHWAJI UNAOENEZWA KWA NJIA YA MTANDAO ILI KUWATIA WATU HOFU



Katika siku za hivi karibuni kumeibuka tabia ya baadhi ya watu wachache wasiofahamika kutunga na kusambaza ujumbe kupitia simu za mikononi na mitandao mbalimbali ya kijamii wenye lengo la kuwatia hofu wananchi, jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Aidha, watu hao wanaosambaza taarifa hizo wanajifanya kwamba taarifa hizo zimetoka kwenye taasisi za kimataifa na taasisi zingine zinazoaminika jambo ambalo siyo kweli.

Jeshi la Polisi nchini linawataka wote wenye tabia hiyo kuacha mara moja na...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE CHADEMA ASEMA UAMUZI WA LOCKDOWN HAUKUWA WA MAANA, AHOJI HIVI RAIS ATOE MAAMUZI YA KUUA WATANZANIA WENGI KWA AJILI YA CORONA ILI APATE FAIDA GANI

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kikiwa kwenye mpasuko baada ya baadhi ya wabunge wake kukaidi agizo la Chama hicho kuwataka kutohudhuria Bunge na kisha kukaa 14 kama sehemu ya kujilinda na virusi vya Corona limechukua sura mpya baada ya Mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama hicho Peter Lijualikali kuelezea hatua kwa hatua madhara ya Lockdown kwa Watanzania na namna ambavyo aliamua kutokubaliana na uamuzi huo kwa maslahi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani