Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Njama ya ulanguzi wa masalia ya mtoto yatibuka

Polisi nchini Thailand wanasema kuwa wamarekani wawili wametoroka nchini humo baada ya jaribio lao la kutaka kutoweka na sehemu za mwili ikiwemo kichwa cha mtoto kutibuka.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Njama ya kumuuza mjamzito yatibuka

Watu 13 wamekamatwa kufuatia sakata ya biashara haramu ya binadamu ambapo nusura mwanamke mjamzito kuhadaiwa kutoa mimba baada ya mpango wa kumuoza kwa lazima kutibuka

 

9 years ago

BBCSwahili

Njama ya kuokoa Diendere yatibuka Burkina Faso

Takriban maafisa 20 wa kijeshi wamekamatwa nchini Burkina Faso baada ya serikali kutibua njama ya kumuachilia huru kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika mwezi Septemba.

 

10 years ago

Michuzi

Msanii Maarufu Rwanda Kiziti Mihigo Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama njama za kupindua serikali na kuua viongozi wake



Muimbaji maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kupindua serikali na kuua viongozi wake na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.


Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kupindua serikali na kua viongozi wake.

Mshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Masalia TZ:Mshukiwa mmoja akamatwa

Polisi nchini Tanzania wanachunguza kisa ambapo masalia ya viungo vya binadamu yalipatikana yametupwa mjini Dar es Salaam

 

11 years ago

Habarileo

Pinda atembelea masalia ya vurugu za gesi

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ametembelea makazi na ofisi zilizochomwa moto wakati wa vurugu za gesi mkoani Mtwara na kuelezewa baadhi ya sababu za vurugu hizo. Akielezea sababu hizo, Mkuu wa Wilaya Masasi, Farida Mgomi alisema moja ya sababu za vurugu katika Mji wa Masasi na vitongoji vyake, ni madai na uchochezi kwamba viongozi wa CCM katika wilaya, wameshindwa kuwajibika kwa wananchi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mechi ya Urusi na Montenegro yatibuka

Mechi ya kuwania kufuzu kwa kombe la mataifa bingwa Ulaya kati ya urusi na Montenegro ilisitishwa baada ya wachezaji kupigana

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan K:Mazungumzo yatibuka Ethiopia

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar watakutana Jumanne katika juhudi za kumaliza mzozo wa kisiasa ambao umekumba nchi hiyo kwa miezi sita.

 

5 years ago

BBCSwahili

Masalia ya mwili wa Augustin Bizimana, mshukiwa mkuu wa mauaji ya Rwanda yapatikana

Tangazo la kifo chake limekuja baada ya kukamatwa kwa mshukiwa mwingine mkuu Félicien Kabuga mwishoni mwa wiki huko mjini Paris, ambaye anatuhumiwa kufadhili mkuu wa mauaji ya kimbari.

 

10 years ago

Vijimambo

Zanzibar yatibuka.CUF wafurushwa kwa mabomu, Nassoro Moyo afukuzwa CCM.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.
Jeshi la Polisi Zanzibar, limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) waliokuwa wakikaidi amri ya kutotoka wilaya moja kwenda nyingine kuhudhuria mkutano wa hadhara. Inakumbukwa kwamba baada ya wafuasi wa CUF kushambuliwa mwishoni wa mwezi uliopita wakitoka katika mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, polisi waliitisha mkutano nabaadhi ya vyama vya siasa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani