Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NJIA, VITUO VYA DALADALA JIJININ MWANZA VYABADILISHWA

Jiji la Mwanza limetangaza mabadiliko ya njia za daladala na vituo vya kupakia na kushusha abiria katikati ya Jiji.

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba amelieleza Mwananchi leo Jumatatu Februari 17, 2020 kwamba mabadiliko hayo yameanza Februari 15, 2020.

Amesema yanalenga kuondoa msongamano katikati ya mji, hasa eneo la barabara ya Pamba ambako unaendelea ujenzi wa soko kuu jipya.

“Tunataka kusiwepo msongamano wa daladala zinazosimama kupakia na kushusha katika...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MHCS LTD YAOMBA KUREJESHWA VITUO VYA DALADALA MWENGE

Baadhi ya wajumbe wa bodi ya MHCS wakiapa na kusaini makubalianao ya utendaji kazi.
Mwenyekiti mpya, Hillary Mdaki (kushoto),  akifafanua…

 

11 years ago

Michuzi

WAMACHINGA WANAOFANYA KAZI ZAO KWENYE VITUO VYA DALADALA NA MABASI DODOMA KUONDOLEWA

 Kamanda wa kikosi cha usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma SSP Peter Sima akifafanua jambo  alipokuwa akizungumza na madiwani wa manispaa ya Dodoma  mwishoni mwa wiki hii.  Meya wa Manispaa ya Dodoma Emanuel Mwiliko akifafanua jambo kwenye baraza la madiwani lililokutana mwisho wa wiki kujadili juu ya makusanyo mbalimbali ili kukamili makadilio ya mwaka huu wa fedha, kushoto ni Naibu Meya Jumanne Ngede.
  Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Robert Kitimbo akielezea jambo katikakikao...

 

5 years ago

Michuzi

DC CHONGOLO AAGIZA WATAALAMU WA AFYA KUTOA ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA KWENYE VITUO VYA DALADALA, NYUMBA ZA IBADA

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amewaagiza wataalaamu wa Afya Wilayani hapo kuanza mara moja kutoa elimu ya kujikinga na virusi vya Corona kwenye nyumba za Ibada ikiwemo Makanisani na Misikitini.

Aidha Mhe. Chongolo ameagiza pia elimu hiyo kutolewa kwenye vituo vya daladala ili kuwasaidia wananchi kutambua namna ya kutumia na kujikinga na Virusi hivyo.

Mhe. Chongolo ametoa agizo hilo leo katika kikao cha zarura kilichofanyika katika ukumbi wa Afya ambapo kimehusisha Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Pirikapirika za hapa na pale katika vituo mbalimbali vya kupigia kura jijini Mwanza

Ni katika Vituo mbalimbali Jijini Mwanza ambapo zoezi la Upigaji Kura limeenda vyema huku likitawaliwa na utulivu katika vituo mbalimbali vya kupigia kura. Na:George GB Pazzo Katika Mitaa mbalimbali ya Jiji la Mwanza hakukuwa na foleni za Magari kama ilivyozoeleka na hata shughuli nyingi zilisimama ili kupisha zoezi hili na muda si mrefu mbivu na mbichi zitaanza kujulikana hivyo ni vyema pande zote zikawa tayari kuyapokea matokeo kwani kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushinwa. Zoezi la...

 

10 years ago

Mwananchi

Daladala za njia ndefu Januari 15

Wadau wa huduma za usafiri jijini Arusha wamepitisha rasmi azimio la kuanzisha usafiri wa daladala wa njia ndefu ifikapo Januari 15 mwakani kwa lengo la kuondoa msongamano.

 

11 years ago

Habarileo

Njia 60 za daladala Dar kusitishwa

NJIA 64 za magari ya daladala jijini Dar es Salaam zitakoma kutumika kutokana na kuanza kwa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daladala Mwanza zagoma

JIJI la Mwanza jana lilikumbwa na taharuki kubwa, baada ya wamiliki na waendesha daladala wa jiji hilo kugoma kutoa huduma. Mgomo huo ulianza kati ya saa 11 alfajiri hadi saa...

 

5 years ago

Bongo5

Sumatra yatoa ufafanuzi wa nauli za daladala kwa njia ya Makumbusho-Mnazi Mmoja

Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imetolea ufafanuzi wa nauli za daladala kwa njia ya Makumbusho- Mnazi mmoja kupitia Kambarage, Shekilango na Kigogo.

Ifuatayo ni taarifa ya mchanganuo wa nauli za daladala katika maeneo hayo;

Na Emmy Mwaipopo

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani