Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daladala za njia ndefu Januari 15

Wadau wa huduma za usafiri jijini Arusha wamepitisha rasmi azimio la kuanzisha usafiri wa daladala wa njia ndefu ifikapo Januari 15 mwakani kwa lengo la kuondoa msongamano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Njia 60 za daladala Dar kusitishwa

NJIA 64 za magari ya daladala jijini Dar es Salaam zitakoma kutumika kutokana na kuanza kwa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART).

 

5 years ago

CCM Blog

NJIA, VITUO VYA DALADALA JIJININ MWANZA VYABADILISHWA

Jiji la Mwanza limetangaza mabadiliko ya njia za daladala na vituo vya kupakia na kushusha abiria katikati ya Jiji.

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba amelieleza Mwananchi leo Jumatatu Februari 17, 2020 kwamba mabadiliko hayo yameanza Februari 15, 2020.

Amesema yanalenga kuondoa msongamano katikati ya mji, hasa eneo la barabara ya Pamba ambako unaendelea ujenzi wa soko kuu jipya.

“Tunataka kusiwepo msongamano wa daladala zinazosimama kupakia na kushusha katika...

 

9 years ago

GPL

DALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR



 Wananchi wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na mwendokasi na kuparamia genge na bajaj yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda relini barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa daladala kukimbilia abiria. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.

 wananchi wakiangalia ajali...

 

5 years ago

Bongo5

Sumatra yatoa ufafanuzi wa nauli za daladala kwa njia ya Makumbusho-Mnazi Mmoja

Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imetolea ufafanuzi wa nauli za daladala kwa njia ya Makumbusho- Mnazi mmoja kupitia Kambarage, Shekilango na Kigogo.

Ifuatayo ni taarifa ya mchanganuo wa nauli za daladala katika maeneo hayo;

Na Emmy Mwaipopo

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

9 years ago

Michuzi

DALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ASUBUHI

 Wananchi wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na mwendokasi na kuparamia genge na bajaj yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda relini barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa daladala kukimbilia abiria. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa. wananchi wakiangalia ajali hiyo. Daladala hilo likiwa ndani ya genge baada ya kuacha njia.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA...

 

9 years ago

Mwananchi

Maisha safari ndefu

Maisha kuwa makini, pale panapo kuweza, Maisha sawa vitani, Nyau Titu nakujuza, Kuwa kwako sumbukoni, kasome na kujifunza, Maisha safari ndefu, furaha chuki huzuni.

 

10 years ago

Mwananchi

Safari bado ni ndefu - Msama

Mtu yeyote anapoanzisha jambo fulani huwa na msukumo uliosababisha kulianzisha. Lakini linaweza kukua na kuwa kitu kikubwa ikiwa ataweka nguvu bila kukata tamaa pindi anapokutana na changamoto wakati wa utekelezaji wa wazo lake.

 

9 years ago

Global Publishers

Pam D: Nikivaa nguo ndefu nawashwa

GLOBALTVONLINE4Mwanamuziki anayefanya poa kwenye game, Pam D.

Mwanamuziki anayefanya poa kwenye game, Pam D amesema watu wasimshangae kwa kupenda kuvaa nguo fupi hasa vipensi kwa kuwa, eti akivaa nguo ndefu anawashwa na kukosa amani.

Mwanadada huyo aliiambia safu hii kuwa, kuna ambao wanaweza kumtafsiri tofauti na kumuita majina mabaya lakini yeye hajali kwani ni mwanamuziki anayejitambua.

“Nikivaa nguo ndefu yaani utanionea huruma, nitawashwa na nitajikuna sana, lakini nikivaa kipensi hivi au hata kama ni...

 

9 years ago

BBCSwahili

Sili asababisha foleni ndefu Marekani

Wakaazi wa mji wa California walilazimika kutafuta njia mbadala baada ya sili mmoja kukwama barabarani mchana kutwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani