Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHCS LTD YAOMBA KUREJESHWA VITUO VYA DALADALA MWENGE

Baadhi ya wajumbe wa bodi ya MHCS wakiapa na kusaini makubalianao ya utendaji kazi.
Mwenyekiti mpya, Hillary Mdaki (kushoto),  akifafanua…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Kituo cha daladala Mwenge pamoja na vibanda vya pembeni vyabomolewa

1

Hivi ndivyo kituo cha Daladala cha Mwenge kilivyo bomolewa asubuhi ya leo.

3

 Hiki kilikuwa Choo cha kulipia kilichokuwa Mwenge nacho kikiwa kimebomolewa.

unnamed

Ulinzi ukiwa umeimarishwa.

unnamed (1)

Kazi ya Kubomoa na kuondoa vibanda ikiwa inaendelea Mwenge.

unnamed (2)

 Askari wa FFU akiwa anazuia watu wasipite eneo ambalo kulikuwa na kazi ya Bomoa bomoa ikiendelea.

unnamed (3)

Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ubomoaji ukiendelea.

unnamed (4)

Hili lilikuwa eneo la kupumzikia zamani la Abiria kungoja usafiri nacho kikiwa kimebomolewa.

unnamed (5)

 

11 years ago

GPL

VITUO VYA MWENGE, MAKUMBUSHO KABLA NA BAADA YA MABADILIKO

Askari wa usalama barabarani, Kinondoni, wakitoa maelezo kwa madereva wanaofanya safari za Makumbusho-Bagamoyo.   Mwonekano wa kituo kipya cha Makumbusho.…

 

5 years ago

CCM Blog

NJIA, VITUO VYA DALADALA JIJININ MWANZA VYABADILISHWA

Jiji la Mwanza limetangaza mabadiliko ya njia za daladala na vituo vya kupakia na kushusha abiria katikati ya Jiji.

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba amelieleza Mwananchi leo Jumatatu Februari 17, 2020 kwamba mabadiliko hayo yameanza Februari 15, 2020.

Amesema yanalenga kuondoa msongamano katikati ya mji, hasa eneo la barabara ya Pamba ambako unaendelea ujenzi wa soko kuu jipya.

“Tunataka kusiwepo msongamano wa daladala zinazosimama kupakia na kushusha katika...

 

11 years ago

Michuzi

VITUO VYA MWENGE, MAKUMBUSHO KABLA NA BAADA YA MABADILIKO LEO


 Mwenyekiti wa soko la Makumbusho, Bi Mary John (kulia), akiongea na Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni, SP Awadhi  Haji (kati), na Mkuu wa Usalama Barabarani, Kituo cha Kinondoni, Solomon Mwangamilo (kushoto).   Huduma ya usafiri ikiendelea kama kawaida eneo la Makumbusho  Stendi ya Makumbusho kabla haijaanza kutumika.   Muonekano mpya wa kituo cha Mwenge baada ya kuhamishwa.
Picha na GPL

 

11 years ago

Michuzi

WAMACHINGA WANAOFANYA KAZI ZAO KWENYE VITUO VYA DALADALA NA MABASI DODOMA KUONDOLEWA

 Kamanda wa kikosi cha usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma SSP Peter Sima akifafanua jambo  alipokuwa akizungumza na madiwani wa manispaa ya Dodoma  mwishoni mwa wiki hii.  Meya wa Manispaa ya Dodoma Emanuel Mwiliko akifafanua jambo kwenye baraza la madiwani lililokutana mwisho wa wiki kujadili juu ya makusanyo mbalimbali ili kukamili makadilio ya mwaka huu wa fedha, kushoto ni Naibu Meya Jumanne Ngede.
  Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Robert Kitimbo akielezea jambo katikakikao...

 

5 years ago

Michuzi

DC CHONGOLO AAGIZA WATAALAMU WA AFYA KUTOA ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA KWENYE VITUO VYA DALADALA, NYUMBA ZA IBADA

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amewaagiza wataalaamu wa Afya Wilayani hapo kuanza mara moja kutoa elimu ya kujikinga na virusi vya Corona kwenye nyumba za Ibada ikiwemo Makanisani na Misikitini.

Aidha Mhe. Chongolo ameagiza pia elimu hiyo kutolewa kwenye vituo vya daladala ili kuwasaidia wananchi kutambua namna ya kutumia na kujikinga na Virusi hivyo.

Mhe. Chongolo ametoa agizo hilo leo katika kikao cha zarura kilichofanyika katika ukumbi wa Afya ambapo kimehusisha Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Kituo cha daladala Mwenge kufungwa

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imetangaza kufunga kituo cha daladala cha Mwenge, Jumapili, Juni Mosi mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Sumatra yafunga kituo cha daladala Mwenge D’Salaam

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imetangaza kuhamisha kituo maarufu cha daladala cha Mwenge kwenda eneo la Makumbusho.

 

11 years ago

CloudsFM

KITUO CHA DALADALA MWENGE KUFUNGWA RASMI JUMAPILI HII

Wamiliki, madereva na abiria wote mnatangaziwa kuwa kituo cha daladala Mwenge kitafungwa rasmi siku ya Jumapili jioni tarehe 01.06.2014. Kuanzia siku ya jumatatu asubuhi tarehe 02.06.2014 kituo kitakachokuwa kinatumika ni Makumbusho tu.
Sababu kubwa ya kufunga kituo hicho ni ufinyu wa eneo hilo jambo linalochangia dadalada kushindwa kuingia kituoni kwa wakati hasa vipindi vya asubuhi na jioni hivyo kusababaisha foleni kubwa katika eneo la Mwenge.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa eneo hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani