Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NJIA YA BAISKELI INAYOTOKEA MARIETTA, GEORGIA MPAKA ALABAMA

The Silver Comet Trail ni njia ya kuendeshea baiskeli inayoanzia mji wa Marietta jimbo la Georgia na kuishia kwenye mpaka wa jimbo la Alabama. Njia hii inaurefu wa maili 61.5 pia hutumia na watembea miguu wanaofanya mazoezi na wanaotembea na wanyama wakufugwa...Njia ya waendesha baiskeli inavyoonekanaHapa ni sehemu ya kupumzika.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Watanzania wa jimbo la Georgia na Alabama wakutana kwa hafla ya nyama choma Atlanta, GA

DJ. Dullah akiburudisha wakati wa nyama choma hiyo.Kwa picha zaidi bofya SOMA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA CP AENDELEA NA UKAGUZI WA MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI HASA KATIKA VIPENYO NA NJIA ZISIZO RASMI

 Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, akiteta jambo na Mzee Abdul mkazi wa Kijiji cha Ndondo wilayani Nyasa mkoani Ruvuma wakati akiendelea na Operesheni ya ukaguzi wa mpaka kati ya Tanzania  na Msumbiji.Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas wa pili kutoka kulia na wa watu toka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Godfrey Wetson Zambi, wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Polisi baada ya kumalizika...

 

9 years ago

BBC

Namibia 16-17 Georgia

Namibia are beaten 17-16 by Georgia but claim their first ever point at the rugby World Cup.

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

MSIBA ATLANTA, ALABAMA NA TANZANIA

Tuna masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa Mzee Henry Ebrahim ,baba mzazi wa Bwana
Elvis Doto Ebrahim Mnyamulu wa Atlanta Georgia, na Bi Salome Ebrahim Mollel wa... Alabama Msiba umetokea leo Saa 11 alfajiri saa za Africa ya Mashariki/nyumbani Tanzania.Mzee Ebrahim alikuwa akitibiwa mjini Atlanta na
Alirudi nyumbani wiki 3 tatu zilizopita kuendelelea na matibabu, hadi alipoitwa kwenye makao ya milele, Ijumaa 01/16/2015.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani Tanzania.(Sinza near Lion...

 

10 years ago

Michuzi

HARUSI YA KANUMBA YAFANA ATLANTA GEORGIA

IMG_6523Bw.harusi David Kanumba akiwa na mkewe Nadege na wakwe zake mara baada ya kufunga ndoa siku ya Jumamosi Machi 28,2015, katika kanisa la Faith Ministry International Atlanta Georgia. IMG_6563Bw.harusi na Bi harusi wakiwa Bw.Togo na mkewe na mwisho kulia ni mchungaji Mwinamila. IMG_6569Bw.harusi na bi.harusi wakiwa na Best man Oscar na Matron Renee . 

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

LB ASHEREHEKEA PASAKA SANDY SPRINGS, GEORGIA

 LB akiwa kwenye sikukuu ya Pasaka Sandy SpringS, Jimbo la  Geogia

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu na Wanyama pori wasombwa Georgia

Mafuriko makubwa yaliyoikumba mji mkuu wa Georgia, Tbilisi,yamesababisha maafa ya watu 8 pamoja na wanyama wa porini

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukraine,Georgia na Moldova watia sahihi

Ukraine, Georgia na Moldova zimetia sahihi mikataba ya ushirikiano na muungano wa ulaya, swala ambalo Urusi inapinga vikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani