Watu na Wanyama pori wasombwa Georgia
Mafuriko makubwa yaliyoikumba mji mkuu wa Georgia, Tbilisi,yamesababisha maafa ya watu 8 pamoja na wanyama wa porini
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 May
Mjadala wa Usimamizi wa Wanyama Pori
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Wanyama watoweka pori la akiba la Selous
UJANGILI bado ni tishio kubwa kwa taifa hili, umesababisha baadhi ya wanyama waliokuwa wakipatikana karibu na maeneo ya pembezoni mwa barabara ya Kisaki kuelekea kwenye pori la akiba la Selous...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UoIr7VVlQfA/XmXCRd37fRI/AAAAAAALiIw/YyRIMpOF_-wI_KDQFkgEJvtcf4kcIph6gCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-01-2.jpg)
WANAWAKE WAMETAKIWA KUPAMBANA NA MAJANGILI WA WANYAMA PORI
![](https://1.bp.blogspot.com/-UoIr7VVlQfA/XmXCRd37fRI/AAAAAAALiIw/YyRIMpOF_-wI_KDQFkgEJvtcf4kcIph6gCLcBGAsYHQ/s640/PIX-01-2.jpg)
Watumishi wa mamlaka ya Wanyamapori TAWA Mkoa wa Morogoro wakiwa katika maanadamano,katika siku ya Wanawake Duniani Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/PIX-02-2.jpg)
………………………………………………………………NA FARIDA SAIDY MOROGORO.
Wakati dunia inaadhimisha siku ya mwanawake duniani wanawake nchini wametakiwa kuwa...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Tuzo za wanyama pori wenye kuchekesha kwa mwaka 2019
11 years ago
Michuzi14 Feb
11 years ago
Michuzi14 Feb
DIRA YA DUNIA TV YAZUNGUMZA NA Mhe. RAIS JAKAYA KIKWETE KUHUSU WANYAMA PORI
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Maafa Shinyanga *Barafu yafunika kijiji, watu 42 wafariki dunia *Zaidi ya 91 wajeruhiwa, mamia wasombwa na maji *Nyumba zabomolewa, mifugo mingi nayo yafa
Paul Kayanda na Kadama Malunde, Kahama
WATU 42 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 91 wamejeruhiwa vibaya baada ya mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kunyesha katika Kijiji cha Mwakata, Kata ya Isaka, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.
Pamoja na vifo hivyo, nyumba za makazi na majengo ya taasisi mbalimbali, yamebomolewa na mafuriko yaliyosababishwa mawe kusambaa kijiji kizima.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya, aliiambia MTANZANIA kwa simu jana kwamba zaidi ya kaya 100...
10 years ago
BBCSwahili17 Feb
Wanyama wafukuzisha kazi watu Australia
10 years ago
MichuziWATU WA CHINA WAZINDUA KAMPENI YA KUWALINDA WANYAMA DHIDI YA UJANGILI