Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB: Taasisi zijitokeze kusaidia maendeleo

Taasisi mbalimbali nchini zimeshauriwa kujitokeza kuchangia shughuli za maendeleo ili kuharakisha maendeleo nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AIFAGILIA TAASISI YA AGA KHAN KWA KUSAIDIA MAENDELEO YA JAMII

Mzee Mwinyi akiwa ameketi meza kuu na viongozi wa Tasisi hiyo ya Aga Khan Sheikh Mkuu, Muft wa Tanzania akiingia ukumbini Makamu wa Rais wa Taasisi ya Aga Khan Tanzania, Kanal Khimj akitoa manano ya utangulizi kabla ya kumkaribisha Mzee Mwinyi kuzungumza Mzee Mwinyi akizungumza "Hekima ikiongezeka Maneno yanapungua", akisema Mzee Mwinyi mwishoni mwa hotuba yake iliyojaa hekima. Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, mchana wa leo ametiliana saini makubaliano ya mkataba wa kuanzisha Mradi wa Maji katika Wilaya ya Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro..  Dr. Likwelile alisaini Mkataba huo kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya uchumi ya Afrika. Aliye wakilisha Benki hiyo ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa...

 

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 SAWA NA FEDHA ZA KITANZANIA SHILINGI BILIONI 20.1 KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Tanzania wakiwa tayari kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mradi wa maji katika Wilaya ya Same na Mwanga. Aliye kushoto kwake ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa maendeleo wa Saudia.Fedha hizo zimetoka BADEA.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile akitia saini makubaliano ya...

 

5 years ago

CCM Blog

NMB YATOA MCHANGO WA SH. MIL 100 KWA SERIKALI KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA

Benki ya NMB katika kudhibiti na kupambana dhidi ya virusi vya Corona, Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB-Ruth Zaipuna amekabidhi msaada wa kifedha shilingi Milioni 100 kwa Mhe. Waziri Mkuu - Kassim Majaliwa mbele ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto - Ummy Mwalimu pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali. Makabidhiano hayo yamefanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi ya Waziri Mkuu-Dar es Salaam.

 Waziri Mkuu - Kassim Majaliwa (wa tatu kushoto) akipokea hundi ya Sh....

 

9 years ago

StarTV

Taasisi za kusaidia jamii zaaswa kuviinua Vipato Kwa Wananchi

Serikali imezitaka taasisi za kusaidia jamii kujikita katika kuinua vipato vya wananchi wa hali ya chini kwa kuwapa elimu na mitaji itakayowasaidia kuibua miradi mbalimbali ya kiuchumi ambayo wataitumia kuboresha vipato vyao na kuondoa umaskini.

Mifuko hiyo haina budi kuunganisha nguvu za pamoja katika kutafuta ruzuku za kuisadia jamii kwani kwa kufanya hivyo wataweza kusaidia kuboreshwa kwa huduma za kijamii, zikiwemo za elimu, afya na maji, ambazo zimekuwa adimu kupatikana kwa watu wenye...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAINGIA UBIA NA TAASISI ZA KIMATAIFA KUSAIDIA WAKULIMA NCHINI

Taasisi ya Connected Farmer Alliance (CFA) ya ubia kati ya watu binafsi na makampuni inayohusisha Vodafone,Shirika la Maendeleo la Marekani (USAID)  na Shirika lisilo la kibiashara la TechnoServe leo yamesainiana  makubaliano ya kwanza ya kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu kuongeza uzalishaji kwa maelfu ya wakulima wadogo wa vipato vya chini nchini Tanzania. Kwa mujibu wa makubaliano kati ya CFA, Olam International...

 

11 years ago

Mwananchi

Awataka wasomi kusaidia maendeleo ya kilimo

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela, Profesa Lugano Kusiluka amewataka wasomi na wanasayansi Afrika kutumia elimu na ujuzi wao kusaidia maendeleo katika sekta ya kilimo na viwanda ambayo ndiyo uti wa mgongo wa maendeleo.

 

10 years ago

Vijimambo

MC PILIPILI NA TAASISI YA MEDO WASAINI MKATABA WA KUSAIDIA ELIMU MKOANI MOROGORO

 Meneja Uhusiano na Mawasiliano  wa Taasisi ya Maendeleo ya Elimu Mkoa wa Morogoro (MEDO), James Mbuligwe (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kabla ya MC Pilipili kutiliana saini na taasisi hiyo ya kusaidia elimu. Kutoka kulia ni Meneja Mradi, Bertha Gama, Emmanuel Elias 'MC' Pilipili na Makamu Mwenyekiti wa Medo, Seluwa Amin. MC Pilipili (katikati), akizungumza kabla ya kutia saini.
 Makamu Mwenyekiti wa Medo, Seluwa Amin (kushoto), akiangalia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani