Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YASAIDIA KITUO CHA WALIMU TEMEKE

Meneja wa kanda ya Dar es salaam NMB, Bw. Salie Mlay akikabidhi kompyuta kwa Afisa elimu manispaa ya Temeke Bi. Honorina Mumba kwa ajili ya kituo cha walimu wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. Msaada huu wa kompyuta mbili pamoja na mashine ya kuchapisha karatasi (Printer) vimetolewa na benki ya NMB kwa ajili ya mafunzo yanayotolewa kwa walimu katika wilaya hii.Hafla ya makabidhiano ilifanyika juzi jijini Dar es salaam. Akishuhudia makabidhiano hayo ni Mkuu wa kituo hicho cha walimu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

BENKI YA NMB YASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA AFYA TUNDUMA


Benki ya NMB  imekabidhi vifaa vyenye thamani ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Makambini Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe kusaidia kukabiliana na janga la ugonjwa hatari wa COVID-19.

Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo kwa niaba ya Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Meneja wa NMB Tawi la Mbalizi Road - Hamadan Silliah amesema msaada wa vifaa hivyo ni moja kati ya mpango wa NMB ya kutenga sehemu ya faida yake katika kusaidia...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya NMB yasaidia vifaa vya ujenzi kituo cha Afya Tunduma

Benki ya NMB  imekabidhi vifaa vyenye thamani ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Makambini Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe kusaidia kukabiliana na janga la ugonjwa hatari wa COVID-19.
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo kwa niaba ya Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Meneja wa NMB Tawi la Mbalizi Road - Hamadan Silliah amesema msaada wa vifaa hivyo ni moja kati ya mpango wa NMB ya kutenga sehemu ya faida yake katika kusaidia...

 

9 years ago

Michuzi

MODEWJI FOUNDATION YASAIDIA UJENZI WA MADARASA KITUO CHA MAFUNZO CHA FURAHINI.

Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akiwa ameambata na wafanyakazo wa kampuni ya METL walipotembelea kituo cha mafunzo cha Furahini cha wilayani Mwanga.  Afisa Udhibiti wa Ubora wa elimu ya msingi wilaya ya Mwanga ,Richard Joachim akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kituo cha mafunzo cha vijana cha Furahini klichopo Kisangara wilayani Mwanga.  Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akifungua mfano wa hundi kwa ajili ya kukabidhi kwa...

 

11 years ago

Michuzi

EPZA YASAIDIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA MAKUBURI KIBANGU, DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa  Mamlaka ya ukanda maalumu wa uwekezaji (EPZA), Bw. Desidery Kalimwenjuma (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa  polisi wilaya ya kimara, SP Cosmas Papalika (katikati) moja ya vifaa vitakavyotumika kwa ajili ya ukarabati wa kituo kidogo cha polisi cha Mwongozo kilichopo Makuburi Kibangu jijini Dar es Salaam.  Wengine ni afisa wa polisi, Ali Rashidi (kulia), Mkuu wa kituo cha hicho, John Haule (wa pili kulia) na Mkuu wa kitengo cha manunuzi kutoka EPZA Bw. Joseph...

 

10 years ago

Vijimambo

KITUO CHA HABARI CHA UMOJA WA MATAIFA WASHIRIKI ALHAMISI YA BURUDANI NA KIKUNDI CHA MTANDAO WA VIJANA TEMEKE

 Afisa habari wa Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi Stella Vuzo akitoa mada kuu iliyokuwa inahusu malengo ya maendelea ya milenia na kuangalia imefikia wapi kwenye malengo hayo pamoja na kuwaelimisha kuhusu maendeleo endelevu baada ya mwaka 2015(Post 2015 Sustainable Development) iliyotolewa kwa Mtandao wa vijana wa Temeke.
Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa jana iliandaa Alhamisi ya Burudani kwa ajili ya kujifunza kazi mbalimbali za Umoja wa Mataifa. Kwa kila Alhamis ya mwisho wa mwezi Kituo cha...

 

11 years ago

Michuzi

TTCL YASAIDIA KITUO CHA MAMA HURUMA

 Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Amini Mbaga (kulia) akijadiliana swala na Mwenyekiti wa kituo cha watoto cha Mama wa Huruma, Mtawa Berna Mdendemi mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.  TTCL ilitoa msaada wa mifuko 70 ya sementi kuwezesha kituo hicho kuwa na majengo yake.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Amini Mbaga (kushoto) akiwasalimia watoto wa kituo cha Mama wa Huruma mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.  TTCL ilitoa msaada wa...

 

9 years ago

Habarileo

Taasisi ya Mo Dewji yasaidia kituo cha vijana

TAASISI ya misaada ya Mo Dewji Foundation imekubali kufadhili mradi wa kituo cha mafunzo cha vijana cha Furahini (FYLC) wenye lengo la kuboresha upatikanaji wa elimu katika kijiji cha Kisangara, Mwanga mkoani Kilimanjaro.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Excel yasaidia kituo cha watoto Msimbazi Centre

KAMPUNI ya Excel Management and Outsourcing Limited, imetenga sh milioni 70 mwaka huu kwa ajili ya kusaidia jamii nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Deogratius Kilawe, alieleza hayo jijini Dar...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA TPB YASAIDIA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MTII

BENKI  ya TPB imesaidia umaliziaji wa ujenzi wa kituo cha afya Mtii, kilichopo Kata ya Mtii, Wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro. Kituo hicho cha afya kinajengwa na jamii ya wanakijiji wa Mtii chenye vijiji vitatu na vitongoji kumi.

Akikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho, Mkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Senyamule, ameipongeza benki ya TPB kwa msaada mkubwa ilioutoa kwa ajili ya kumalizia eneo la OPD la kituo hicho ili kianze kutoa huduma kwa jamii. “Natoa shukrani zangu zadhati kwa benki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani