Nooij apiga chini ‘Stars Maboresho’
Kocha wa Taifa Stars, Martinus Nooij amewatema wachezaji wote wa mpango maalumu wa kuiboresha timu hiyo kwenye kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 22 alichokitangaza jana kwa ajili ya mechi dhidi ya Zimbabwe ya kusaka tiketi za kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika 2015 itakayochezwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5JhG3TO15e4/U1DSx_8yDTI/AAAAAAAFbmM/BxuUIfsOW_c/s72-c/TFF+Logo.jpg)
WACHEZAJI MABORESHO STARS WATAJWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-5JhG3TO15e4/U1DSx_8yDTI/AAAAAAAFbmM/BxuUIfsOW_c/s1600/TFF+Logo.jpg)
Wachezaji hao ni kipa Benedicto Tinoko Simwanda (Temeke), mabeki wa kati; Emma Namwondo Simwanda (Temeke) na Joram Nason Mgeveje (Iringa). Walinzi wa pembeni ni Omari Ally Kindamba (Temeke), Edward Peter Mayunga (Kaskazini Pemba) na Shiraz Abdallah Sozigwa (Ilala).
Viungo ni Yusuf Suleiman Mlipili (Temeke),...
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Stars maboresho kuivaa Rwanda
Stars maboresho itapambana na Rwanda katika mechi ya kirafiki itakayofanyika Mwanza kaskazini magharibi mwa Tanzania
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Nooij kuipeleka Stars AFCON
Kocha mpya wa Taifa Stars, Martinus Ignatinus ‘Mart’ Nooij raia wa Uholanzi amesema kazi yake kubwa atakayoanza nayo ni kuhakikisha Stars inafuzu kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika 2015 pamoja mashindano ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) 2016.
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Nooij aita tisa Stars
>Baada ya kuishudia Taifa Stars ikicheza kiwango kibovu na kunyukwa 3-0 na Burundi Jumamosi kocha mpya wa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi itakayochezwa Mei 4, kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bNsAjWc0rHA/VINQ5ztcQ0I/AAAAAAAG1pc/1rqFtL9MRTU/s72-c/Staz.jpg)
TAIFA STARS MABORESHO YAREJEA DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-bNsAjWc0rHA/VINQ5ztcQ0I/AAAAAAAG1pc/1rqFtL9MRTU/s1600/Staz.jpg)
Timu hiyo ambayo leo asubuhi imefanya mazoezi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa ndege ya Fastjet saa 12.30 jioni na kwenda moja kwa moja kambini hoteli ya Tansoma.
Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kesho...
11 years ago
GPLVIPAJI 36 VYATAJWA MABORESHO TAIFA STARS
Release No. 045
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Machi 17, 2014 Jopo wa wang’amuzi vipaji limetangaza majina ya wachezaji 36 waliopataikana katika mchakato wa maboresho ya Taifa Stars ulioshirikisha mechi za mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar.
Kaimu Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Salum Madadi amesema jopo hilo liling’amua vipaji 143 katika mchakato, lakini waliochukuliwa...
10 years ago
GPL![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/ma.png?width=645)
TAIFA STARS MABORESHO YAINGIA KAMBINI
Kikosi cha Taifa Stars Maboresho kimeingia kambini leo (Desemba 1 mwaka huu) Bulyanhulu mkoani Shinyanga kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa Desemba 9 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Ikiwa chini ya Kocha Mart Nooij, Stars Maboresho itapiga kambi mkoani humo hadi Desemba 6 mwaka huu ambapo itarejea jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya mechi hiyo itakayochezwa Uwanja wa Taifa. Wachezaji walioingia...
10 years ago
Mwananchi20 Jun
Mechi ya lawama kwa Nooij, Stars
Dar es Salaam. Ni mtihani wa kwanza kwa kocha Martin Ignatius Nooij anapoanza safari ndefu na ngumu ya kulinda au kupoteza kibarua chake akiwa na kikosi cha Stars.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania