NSSF, REAL MADRID KUZALISHA VIPAJI VYA SOKA TANZANIA.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhani Dau akifafanua jambo kwa wageni waliohudhuria hafla fupi ya kusaini mkataba kati ya shirika hilo na timu ya mpira wa miguu ya Real Madrid wa kuanzishwa kwa kituo cha michezo (sports academy) katika eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam. Dk. Dau alisema katika uendeshaji wa kituo hicho, Real Madrid itakua na dhamana ya kushughulikia masuala yote ya ufundi, kuwatambua wachezaji, chakula, wataalamu wa saikolojia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Jan
UWEKEZAJI SOKA: Real Madrid, NSSF kuibua vipaji
10 years ago
Vijimambo16 Feb
Zoezi la uandikishaji vijana kuingia NSSF Real Madrid Sports Academy lapamba moto
![Zoezi la uandikishaji watoto watakaoshiriki kuingia katika NSSF- Real Madrid Sports Academy likiendeleajijini Dar es Salaam katika viwanja vya Karume.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG_0083.jpg)
![Zoezi la uandikishaji watoto watakaoshiriki kuingia katika NSSF- Real Madrid Sports Academy likiendelea jijini Dar es Salaam leo katika viwanja vya Karume.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG_0143.jpg)
![Mmoja wa wazazi waliowaleta watoto wao kwa ajili ya zoezi la uandikishaji Vijana Kuingia NSSF- Real Madrid Sports Academy pamoja na mwanae wakijaza fomu kwa wasimamizi wa zoezi hilo leo jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG_0147.jpg)
9 years ago
Bongo528 Dec
Ronaldo atastaafu soka akiwa Real Madrid – Jorge Mendes
![2F955BAD00000578-0-The_Portuguese_maestro_watched_the_Miami_Heat_agonisingly_lose_9-a-40_1451263483471](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2F955BAD00000578-0-The_Portuguese_maestro_watched_the_Miami_Heat_agonisingly_lose_9-a-40_1451263483471-300x194.jpg)
Wakala maarufu wa Cristiano Ronaldo, Jorge Mendes amezifutilia mbali tetesi za uwezekano wa mshambuliaji huyo wa Real Madrid kuwa na mpango wa kuhamia klabu nyingine.
Ronaldo akishuhudia mchezo wa kikapu wa ligi ya NBA kati ya Miami Heat na Detroit Pistons ambapo Heat walishindwa kwa vikapu 93-92 December 22
Wakala huyo amedai kuwa Real Madrid ni timu ya mwisho mchezaji huyo kuichezea. Kulikuwepo na tetesi kuwa mchezaji huyo angependa kucheza na Paris Saint-Germain ya Ufaransa.
Akizungumza...
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG_0083.jpg)
ZOEZI LA UANDIKISHAJI VIJANA KUINGIA NSSF REAL MADRID SPORTS ACADEMY LAPAMBA MOTO
10 years ago
Michuzi16 Feb
Zoezi la uandikishaji vijana kuingia NSSF Real Madrid Sports Academy lazidi kushika kasi
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kushirikiana na klabu maarufu duniani ya mpira wa miguu ya Real Madrid ya Hispania, leo imeendelea na zoezi lake la usajili wa vijana walio na umri wa chini ya miaka 14 watakaofanyiwa majaribio kwa ajili ya kujiunga na kituo cha michezo cha NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY katika uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam, huku idadi ya vijana wanaojisajili ikiongezeka.
Mchakato huo wa usajili ulianza Oktoba 14 lakini leo idadi...
11 years ago
MichuziTIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA
11 years ago
Mwananchi21 Apr
TSC akademia inayoibua vipaji vya soka nchini
10 years ago
MichuziAWAMU YA KWANZA YA UANDIKISHAJI WA WACHEZAJI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA KITUO CHA MICHEZO CHA NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY WAANZA RASMI LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-EfMof1nH_7Y/VN8a8u-vCHI/AAAAAAABTSE/CxGu9WB8BsI/s1600/1.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima12 May
MARSH ATHLETES CENTRE: Mgodi unaotema vipaji vya soka Mwanza
MSINGI wa maendeleo na mafanikio ya mchezo wa soka kote duniani, ni uwekezaji wa uhakika katika programu mbalimbali za vijana kwa maana ya kujengwa wakiwa na umri mdogo na kuendelezwa...